Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Japo sio Jimbo la baba Revo.. mwenye namba zake amfikishie ujumbe huu.Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.
View attachment 3531873
View attachment 3531875
Na hali itaendelea kuwa mbaya maana wahisani wameambiwa "who are you?"Tusubiri hisani ya watu wa marekani watujengee vyoo ,sisi fedha zetu tunanunua LC 300 za Bilioni 580 kila mwaka.
Inasikitisha sana ,ukiongea hivyo unaambiwa ni mchochezi.Na hali itaendelea kuwa mbaya maana wahisani wameambiwa "who are you?"
Halmashauri ya huko uchukue hatua za haraka kunusuri hali.Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.