DOKEZO Vyoo vya Shule ya Muhamani - Kigoma Vijijini vimejaa, Wanafunzi hawana pa kujisaidia

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
​
Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Poleni sana.

Next time unaporekodi video usifikiri kile unachokiona kwa macho yako ndicho kinachonaswa na camera.

Rudi nyuma, chukua video kwa usahihi huku ukiiangalia camera/screen ya simu yako na sio kuweka simu kifuani badala yake unaishia kurekodi chini au ukuta tu.
 
Japo sio Jimbo la baba Revo.. mwenye namba zake amfikishie ujumbe huu.

Baba Revo saidia waha wenzako sio kuwapikia ubwabwa pekee wasaidie hao WANANCHI MAANA WEWE NI MBUNGE USIE NA MIPAKA
 
Bila shaka wahusika wamo humu wataliona bandiko lako na kulifanyia kazi!.
 
Tusubiri hisani ya watu wa marekani watujengee vyoo ,sisi fedha zetu tunanunua LC 300 za Bilioni 580 kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…