Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi zifuatazo ili Taifa likapate kukombolewa.

1. Mahakama
2. TAKUKURU
3. Ofisi ya DPP
4. Tume ya Taifa ya Uchaguzi
5. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
6. TISS
7. Polisi
8. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
9. Jeshi la Wananchi
10. Utumishi wa Umma generally
11. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

No Reforms No Election ✊️ ✌️
1755509511124.jpg
 
Chadema iweke hapo
 
Bunge ilitakiwa iwe namba moja mbona umelisahau?
 
watanzania walipohojiwa walitaka mfumo wa chama kimoja ...tungekuwa mbali sana
Watanzania gani, hawa waliohojiwa na dodoso za wanaccm? Hao wote waliohojiwa kwa sasa ni wazee au wamekufa na walikuwa na hofu ya ccm. Msutushurutishe kutawaliwa kwa shuruti na chama cha majizi, waongo, washirikina, wauza unga, wala rushwa na uchafu wa aina hiyo.
 
Inawezekana ila haitakuwa rahisi
Haiwezekani kama wanamtandao wana ishi wameshaiona hatari mbele yao wakiruhusu katiba iliyopendekezwa ikipitishwa.

Kwasababu wao na familua zao ndio watakuwa wahaini numberi one.
 
Hakunaga jambo la sasa bali ni mchakato
Mchakato ni ujinga hata chama cha mtandao waliisha likataa neno mchakato kwasababu wanafahamu ni uongo.

Katiba pendekezwa iliisha kuwepo mchakato wa nini?

We nenda kafanye mchakato wako.

Mimi nasema sihitaji mchakato, ni ujinga.
 
Hapo TAKUKURU isiwepo kabisa, Kwa hali ilivyo nchini uwepo wake hauna maana
 
Mbunge ajue kusoma na kuandika halafu dereva wa mbunge form 4 😂
 
Back
Top Bottom