Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mda huo huo umekata tamaa na kuwalaumu watu wa mtandao na mda huo huo ùnataka mabadilikoMchakato ni ujinga hata chama cha mtandao waliisha likataa neno mchakato kwasababu wanafahamu ni uongo.
Katiba pendekezwa iliisha kuwepo mchakato wa nini?
We nenda kafanye mchakato wako.
Mimi nasema sihitaji mchakato, ni ujinga.