Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Gianni Infantino
• Fatma Samoura
• Arsène Wenger
• Salman bin Ibrahim Al Khalifa
• Alejandro Dominguez
• Patrice Motsepe
• Veron Omba
• Augustin Senghor
• Ahmed Yahaya
• Seidoi Mbombo
• FA Presidents in Africa

Hii yooote ni kazi ya Simba SC
 
Ok sawa
 
Ao woote kuhudhuria kwao hakumfanyi Kibu kuwa Aziz k , Saido kuwa Pacome au Ayubu kuwa Diara.

Jipangeni mkacheze mpira, ao wageni uwepo wao hauna Tija yoyote kwa klabu ya Simba na wala hawaijui.
Ata aya mashindano yange fanyika Rwanda au Burundi wageni wangekuwepo.

Mkifanya uzembe mta tandikwa apo kwa mkapa kama walivyowafanya Raja Casablanca.
 
Simba inatisha mkuu

Ila ili ubalance story tupe na vyuma vitakavyoishuhudia wazee wa mwiko nyuma wakitumbuiza na Azam
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Kama unaumia kunya boga kenge bluuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Saaa msije mkatutia aibu tu Watanzania...
 
Naona kuna mnyakyusa Mbombo
 
Bila kusahau Tatu Malogo pale kati kati kama mgeni rasimi
 
Aziz ki ndiyo ana nini .

Kwahiyo kwako Aziz ki Ni bonge la kiungo.

Duuuh,maajabu haya

Kweli aliyesema Hakuna uto mwenye akili hakukosea.
 
Baada ya mechi, kuna uzi utaanzishwa ukiwa na title hii..

VYUMA VYA DUNIA VILIVYOSHUHUDIA SIMBA "AKITHIMBWA" NI HIVI HAPA
 
simba hawatakiwi kutuangusha, keshokutwa wanatakiwa wacheze kama hawajawahi kucheza kabisa. wakifungwa wameaibisha taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…