Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

Kwa hiki kinachofanyika/ sherehe za ufunguzi kwa Simba ni ushindi mkubwa sana kuliko ushindi wa uwanjani.
 
Ao woote kuhudhuria kwao hakumfanyi Kibu kuwa Aziz k , Saido kuwa Pacome au Ayubu kuwa Diara.

Jipangeni mkacheze mpira, ao wageni uwepo wao hauna Tija yoyote kwa klabu ya Simba na wala hawaijui.
Ata aya mashindano yange fanyika Rwanda au Burundi wageni wangekuwepo.

Mkifanya uzembe mta tandikwa apo kwa mkapa kama walivyowafanya Raja Casablanca.
Naona unajitekenya. Ndo akina nani hao? Kuna timu ilicheza na Simba fainali ya ngao na Simba akawa mshindi. Huenda wangekuwepo, hiyo timu yako ingeshinda. Simba ni Bora Afrika Kwa misimu kadhaa Sasa na yupo mashindano mapya yenye hadhi zaidi Afrika. Hao wachezaji ulio wataja, huenda jumapili watakuwa na mnyukano na azam kwenye local league. Simba anahangakia kimataifa na Bado unataka alingane na hizo levels. Waswahili tumerogwa. Ijumaa, Simba anashinda mechi. Andaa ubongo kupokea hii taarifa.
 
Simba akishinda ijumaa njoo inbox nakutumia laki, no joke about this
 
Aibu naona mimi...kumbe mpk JF kuna wapumbavu kama wa huko instagrame...
Sasa nyie mnaocheza club bingwa hyo logo hamuitumii???
Hahahahahahah
Ujinga mzigo..
Club bingwa haipo hio rangi, thou ni akili za kijinga tu
 
Back
Top Bottom