Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

Ao woote kuhudhuria kwao hakumfanyi Kibu kuwa Aziz k , Saido kuwa Pacome au Ayubu kuwa Diara.

Jipangeni mkacheze mpira, ao wageni uwepo wao hauna Tija yoyote kwa klabu ya Simba na wala hawaijui.
Ata aya mashindano yange fanyika Rwanda au Burundi wageni wangekuwepo.

Mkifanya uzembe mta tandikwa apo kwa mkapa kama walivyowafanya Raja Casablanca.
Naunga mkono hoja
 
Au kuwa wachezaji wa IHEFU
 
Fata maneno ya mental wako Zaka zakazi
Lakini ndio alikaa meza moja na kiongozi wako kujadili jambo ambalo wao waliliona ni la busara.

Kwa hiyo kumkataa Zakazakazi kwa kejeli ni kuitukana management ya Club yako ikiyotoa kibali kwa Afisa Habari wake kwenda kukaa meza moja na Zakazakazi kujadili ajenda ya utaifa.
 
Gianni Infantino
• Fatma Samoura
• Arsène Wenger
• Salman bin Ibrahim Al Khalifa
• Alejandro Dominguez
• Patrice Motsepe
• Veron Omba
• Augustin Senghor
• Ahmed Yahaya
• Seidoi Mbombo
• FA Presidents in Africa

Hii yooote ni kazi ya Simba SC
Na mimi nitakuwepo kwa Mkapa kuhanikiza🦁🦁🦁
 
Gianni Infantino
• Fatma Samoura
• Arsène Wenger
• Salman bin Ibrahim Al Khalifa
• Alejandro Dominguez
• Patrice Motsepe
• Veron Omba
• Augustin Senghor
• Ahmed Yahaya
• Seidoi Mbombo
• FA Presidents in Africa

Hii yooote ni kazi ya Simba SC
Na bado hamna kiwanja chenu?

Sasa mna nini cha kujivunia?
 
Toa msimamo wako kuhusu ngao acha maneno mengi
Msimamo wangu ni huu
azamtvsports-20231018-0001.jpg
 
Back
Top Bottom