mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
1.Mzee mpiliSimba inatisha mkuu
Ila ili ubalance story tupe na vyuma vitakavyoishuhudia wazee wa mwiko nyuma wakitumbuiza na Azam
Sawa, ila tulia dawa ikuingie..!!Utoto.
Why hukutimiza ahadi yako ya kujipiga ban endapo simba ingesonga mbele dhidi power dynamo?Tuombe makolo wasije kung'oa viti Baada ya goal la 5 kukandwa,[emoji23]
draw yenyewe hawatoi, kichapo kinawahususimba hawatakiwi kutuangusha, keshokutwa wanatakiwa wacheze kama hawajawahi kucheza kabisa. wakifungwa wameaibisha taifa.
Hakuna utaifa haposimba hawatakiwi kutuangusha, keshokutwa wanatakiwa wacheze kama hawajawahi kucheza kabisa. wakifungwa wameaibisha taifa.
Mmeleta mpka Rais wa FIFA lakini bado mnatutajaUtopolo wanatamn wangekuwa ni wao,,bahati mbaya hamna hata mtu anawapa airtime,,gem yao na azam imemezwa na gem ya kibabe,ndo mmenyimwa uwanja wamepewa tp mazembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ndio Yanga sasa na hizi ndio level ya mwisho ya akili zao.Ao woote kuhudhuria kwao hakumfanyi Kibu kuwa Aziz k , Saido kuwa Pacome au Ayubu kuwa Diara.
Jipangeni mkacheze mpira, ao wageni uwepo wao hauna Tija yoyote kwa klabu ya Simba na wala hawaijui.
Ata aya mashindano yange fanyika Rwanda au Burundi wageni wangekuwepo.
Mkifanya uzembe mta tandikwa apo kwa mkapa kama walivyowafanya Raja Casablanca.
Huo mkono bora ungeutumia kuungia mbogaNaunga mkono hoja 👍👏
Hujaambiwa kuwa kwenye maintenance ya uwanja iliyofanyika moja ya part ya Simba waliochangia ni pamoja na kuweka viti vipya?Tuombe makolo wasije kung'oa viti Baada ya goal la 5 kukandwa,[emoji23]
Zile ni dusko tu yeyote zinaweza kumtembelea.
Nakubaliana na wewe.Hakuna utaifa hapo
Ngao ni kombe au sio kombe? tukubaliane mapemaHawa ndio Yanga sasa na hizi ndio level ya mwisho ya akili zao.
Swali ni je.
Hao wachezaji wako uliowataja ni tofauti na wale tuliocheza nao fainali ya community shield kule Tanga?
If not then, What did they offer? Walikupa kombe?
Je hao wachezaji wako uliowataja na kujigamba nao ni tofauti na wale waliocheza na Ihefu pale Mbalali?
Did they win that match against amateur club?
So why are you praising them?
Zaka zakazi ndio hua reference yako usiniulize maswali ya ki wackyNakubaliana na wewe.
Kumbe ile press ya Ally Kamwe, Zakazakazi na yule msemaji wa Singida kuhusu utaifa uliiona ni ya kinafki kama mimi?
Mliposema treble mlikuwa mmehesabu kombe lipi na lipi?Ngao ni kombe au sio kombe? tukubaliane mapema
Hongereni sanaGianni Infantino
• Fatma Samoura
• Arsène Wenger
• Salman bin Ibrahim Al Khalifa
• Alejandro Dominguez
• Patrice Motsepe
• Veron Omba
• Augustin Senghor
• Ahmed Yahaya
• Seidoi Mbombo
• FA Presidents in Africa
Hii yooote ni kazi ya Simba SC