Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Mmekosa hela za kuwalipa wasanii wakubwa leo ndo mnajifanya kutoa respect kwa vijanaToa respeck kwa vijana na wao wapate ridhi na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekosa hela za kuwalipa wasanii wakubwa leo ndo mnajifanya kutoa respect kwa vijanaToa respeck kwa vijana na wao wapate ridhi na wewe
Mara ya mwisho katoa ngoma lini?
Kumbe clouds inaendeshwa kwa mapato ya fiestaYani mkoa kama Morogoro ndo wanapeleka hii list, angalau angekuepo stamina ingetia amsha amsha...
Kifo cha clouds nakiona, basi watu wenye roho mbaya kama mimi ni full raha tu mana hawa jamaa walijaa viburi
hahaaaIlifaaa iwe show pale Biafra ya kuhamasisha jamii dhidi ya ukeketaji!
stamina mbona yupo". (rostam watakuwepo).... ila honestly wamezingua" visanii visivyo na fan base vipo vingi mnooo ..mpaka Z.anto.... you know kuna harufu fulani inayonuka inayoonyesha kuwa kampuni haina hela" ndio maana wamebeba wasanii wengi wa kawaida ambao huwa wanamudu kuwafanyisha show kwa hela ya bia na sahani ya nyama choma" huku wakiwapatia ahadi ya promotionYani mkoa kama Morogoro ndo wanapeleka hii list, angalau angekuepo stamina ingetia amsha amsha...
Kifo cha clouds nakiona, basi watu wenye roho mbaya kama mimi ni full raha tu mana hawa jamaa walijaa viburi
Hao madogo wanafunguliwa dunia kuwa wanachotakastamina mbona yupo". (rostam watakuwepo).... ila honestly wamezingua" visanii visivyo na fan base vipo vingi mnooo ..mpaka Z.anto.... you know kuna harufu fulani inayonuka inayoonyesha kuwa kampuni haina hela" ndio maana wamebeba wasanii wengi wa kawaida ambao huwa wanamudu kuwafanyisha show kwa hela ya bia na sahani ya nyama choma" huku wakiwapatia ahadi ya promotion
Jamaa wanatia huruma sana daah....!!Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000
Belle9
Fid Q
Nandy
Jolie
Malkia Karen
Whozu
Mr blue
Jaymolody
Janjaro
Z anto
Luludiva
Amber Lulu
Chege
Bryan Simba
Na wengine wengi
Full undergrounds na kheri wangekuwa na major breakthrough yaani ni wale wasio na ushawishi...Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000
Belle9
Fid Q
Nandy
Jolie
Malkia Karen
Whozu
Mr blue
Jaymolody
Janjaro
Z anto
Luludiva
Amber Lulu
Chege
Bryan Simba
Na wengine wengi
Maybe kwasababu Mastermind mwenyewe ruge anaumwa au tigo wametoa bajeti ndogo, pesa ngumu sasahiviFull undergrounds na kheri wangekuwa na major breakthrough yaani ni wale wasio na ushawishi...
Nguvu ya clouds kama brand
Imeegemea katika radio na Tv, THT na Fiesta...
THT ipo ICU na haiwezi kuisupport tena Fiesta..bado Tv na Radio zipo katika competition kali kiasi
Kinachonisikitisha ni kuwa clouds kama monopoly inaeza kuzama ili kuipa nguvu monopoly nyingine ya wasafi..hii haitasaidia kitu maana hakuna monopoly asiependa milki
Maybe kwasababu Mastermind mwenyewe ruge anaumwa au tigo wametoa bajeti ndogo, pesa ngumu sasahivi
Kumbe kuna msanii anaitwa Jay melody nilikuwa sifahamu kwa kweliNaweza kwenda kuangalia wasanii wote hata Nandy na chupi lake lakini Jay Melody.... Hell no