1.Ngono kwa kwenda mbele,watu wamepewa mi GP mikubwa kwa kugawa uroda kwa lecturers na haohao unakuta wameajiriwa hapo hapo chuoni unategemea nini.
2.Kuna ukabila wa kutisha, watu wanabebana kwa misingi ya kikabila wanapeana tu hiyo mi GP then wanapeana ajira vyuoni unategemea nini.Cheki Mzumbe na Udsm ni balaaa
3.Siasa.Lecturers wazuri wanateuliwa kila kukicha ktk nafasi serikalini unategemea nani atafanya hizo tafiti wanabaki akina karamagi vyuoni ambao wao wanaona kukamata wanafunzi kwenye mitihani ndio akili kumbe ni ujinga mtupu