The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Ndo maana panaitwa jalalaniπππNdio ninayo na hata makamu mkuu wa chuo kwa sasa profesa William anangisye ni mwalimu wangu. Profesa Bernadeta Kilian aliyekuwa mkuu wa chuo kishiriki cha Elimu Mkwawa naye pia ni mwalimu wangu na wengine wengi sana .
Pale hawaendi vichwa panzi kama wewe.pale zinaenda akili kubwa na kutoka akili kubwa πππ bila hivyo uta supp na ku carry over mpaka uishie kudisco tu na kurudi uraiani kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimuNdo maana panaitwa jalalani
Ndo maana panaitwa jalalani kwa ajili yako na mwijaku.Pale hawaendi vichwa panzi kama wewe.pale zinaenda akili kubwa na kutoka akili kubwa πππ bila hivyo uta supp na ku carry over mpaka uishie kudisco tu na kurudi uraiani kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu
Kijana, ifikie wakati ukubali kuwa kunahitajika jitihada za dhati kunusuru Elimu yetu hasa Elimu ya Juu, UDSM inazidi kuporomokaPale hawaendi vichwa panzi kama wewe.pale zinaenda akili kubwa na kutoka akili kubwa πππ bila hivyo uta supp na ku carry over mpaka uishie kudisco tu na kurudi uraiani kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu
MbrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrMbrrrr mbrrr mbrrr
Ni aibu kujiita msomi siku hizi.Semenya
GRaduates wenyewe kina mwijaku unategemea kuna shule hapoimebaki kusifu na kuabudu a.k.a Uchawanization.
Totally borering.
π πGRaduates wenyewe kina mwijaku unategemea kuna shule hapo
sasa kama wasomi wenyewe hawa vilaza waliojaa kwenye vyeo vya kupewa kuuutwaa wanahangaika na mataito ya udokta na ma piihechidii feki unategemea nini? Bongo kila kitu chengaTuna idadi kubwa ya wasomi with no content