Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

Hao wanafunzi mbona hawakuandamana siku watoto wachanga wa Kiisraeli walipouliwa na HAMASI ?
Au hao sio Binadamu ?

Kuna watu hadi leo wanashangilia mauaji yaliyofanywa na na HAMASI siku walipo ivamia Israeli na kuua watu wasio na hatia.

Tukiwaambia kuwa kuiua roho yoyote ile bila hatia ni jambo baya huwa hamsikii kabisa.

Mlitakiwa kwanza kuwakemea HAMASI kwa kitendo chao kile na vile vile kuwakemea Israeli kwa wanacho kifanya.

Ukimchokoza mtu ujue sio lazima alipe kisasi katika kiwango chako kile kile ulicho kifanya.

Wengi wenu humu ni wanafiki tu, wakiuliwa jamii furani mnafurahia, wakiuliwa wapendwa wenu mnakuja na povu jingi.
 
Hapo ni nani hasa wa kulaumiwa?
Kati ya HAMAS, ISRAELI NA MAREKANI ?
 
Siku nyingine muwe mnakemea chokochoko zozote zinazopelekea watu wasio na hatia kuuliwa bila sababu.

Na sio wanapouliwa Waarabu tu.
 
Hao wanafunzi mbona hawakuandamana siku watoto wachanga wa Kiisraeli walipouliwa na HAMASI ?
Au hao sio Binadamu ?

Kuna watu hadi leo wanashangilia mauaji yaliyofanywa na na HAMASI siku walipo ivamia Israeli na kuua watu wasio na hatia.

Tukiwaambia kuwa kuiua roho yoyote ile bila hatia ni jambo baya huwa hamsikii kabisa.

Mlitakiwa kwanza kuwakemea HAMASI kwa kitendo chao kile na vile vile kuwakemea Israeli kwa wanacho kifanya.

Ukimchokoza mtu ujue sio lazima alipe kisasi katika kiwango chako kile kile ulicho kifanya.

Wengi wenu humu ni wanafiki tu, wakiuliwa jamii furani mnafurahia, wakiuliwa wapendwa wenu mnakuja na povu jingi.
Umemezeshwa propaganda unaropoka tu mabwana zako waliambiwa leteni ushahidi au hao wazazzi wa hao watoto mnaosema wachijwa na kubakwa mpaka leo kimya. Usiwe punguania wewe maandamo haya yapo duniani nzima ya wapenda haki siyo wanafunzi wewe endelea kushabikia mabwana zako usiwapangie wengine wewe muisrael mweusi upo Uyole unaumwa ITi sugu unahoji maandamano ya Wanafunzi wa Marekani wanaopinga mauji ya watoto dunia ina vituko.
 
Siku nyingine muwe mnakemea chokochoko zozote zinazopelekea watu wasio na hatia kuuliwa bila sababu.

Na sio wanapouliwa Waarabu tu.
Wewe hata hujui lolote zaidi ya ushabiki mandanzi nenda FB hauna unachojua Mashariki ya Kati.
 
Umemezeshwa propaganda unaropoka tu mabwana zako waliambiwa leteni ushahidi au hao wazazzi wa hao watoto mnaosema wachijwa na kubakwa mpaka leo kimya. Usiwe punguania wewe maandamo haya yapo duniani nzima ya wapenda haki siyo wanafunzi wewe endelea kushabikia mabwana zako usiwapangie wengine wewe muisrael mweusi upo Uyole unaumwa ITi sugu unahoji maandamano ya Wanafunzi wa Marekani wanaopinga mauji ya watoto dunia ina vituko.
Mimi nalaani mauaji yoyote ya watu wasio na hatia
Nawalaani Hamas na Israeli kwa walichokifanya.
Wewe sijawahi kukusikia ukiwaalaani Hamasi hata siku moja
Huwa unalaani wakiuliwa Waarabu tu na ndi akili zako zinavyokutuma
Ndipo tunapotofautiana.
 
Huwa unalaani wakiuliwa Waarabu tu na ndio akili zako zinavyokutuma
Ndipo tunapotofautiana.
 
Netanyahu hates American Universities the most — because they’re the only anti-Israel colleges he’s not allowed to bomb.
 
Mimi nalaani mauaji yoyote ya watu wasio na hatia
Nawalaani Hamas na Israeli kwa walichokifanya.
Wewe sijawahi kukusikia ukiwaalaani Hamasi hata siku moja
Huwa unalaani wakiuliwa Waarabu tu na ndio akili zako zinavyokutuma
Ndipo tunapotofautiana.
 
Mimi nalaani mauaji yoyote ya watu wasio na hatia
Nawalaani Hamas na Israeli kwa walichokifanya.
Wewe sijawahi kukusikia ukiwaalaani Hamasi hata siku moja
Huwa unalaani wakiuliwa Waarabu tu na ndi akili zako zinavyokutuma
Ndipo tunapotofautiana.
Nitolee uharo wako hapa mnafiki mkubwa unakesha JF kishabikia mauaji ya watoto.
 
Uha
Uharo mtupu.
We sema uharo wakati watu wanaendelea kuuliwa huko Gaza.
Nakukumbuka wewe ni kati ya waliofurahia vitendo vya hamasi vya kuuwa Waisreli wasio na hatia.
Leo unalialia nini humu endelea kufurahia kama mwanzoni pale.
Mnasema eti hamasi kashinda vita.
Vita gani wanashindwa kuzuia vitendo vya Israeli na kubaki kujificha kwenye mahandaki tu na kukimbilia nchi za nje.

Kwa kila mwenye akili timamu hii vita wa kulaumiwa kwanza ni Hamasi.
 
Uha
Uharo mtupu.
We sema uharo wakati watu wanaendelea kuuliwa huko Gaza.
Nakukumbuka wewe ni kati ya waliofurahia vitendo vya hamasi vya kuuwa Waisreli wasio na hatia.
Leo unalialia nini humu endelea kufurahia kama mwanzoni pale.
Mnasema eti hamasi kashinda vita.
Vita gani wanashindwa kuzuia vitendo vya Israeli na kubaki kujificha kwenye mahandaki tu na kukimbilia nchi za nje.

Kwa kila mwenye akili timamu hii vita wa kulaumiwa kwanza ni Hamasi
 
Weka hapa mahali nilipofurahia na kushabikia mtu yoyote kuuliwa bila hatia.
Mimi kwanza niliwashutumu Hamasi wewe ulikuwa kimya kabisa.
Leo watoto wasio na hatia wa gaza wanauliwa ndio unajitokeza shimoni kulaani.
Mnafiki mkubwa wewe
Watoto wako Gaza pekee?
Hivyo vyote ni vitendo vya Kigaidi bila kujali kafanya nani.
Nitolee uharo wako hapa mnafiki mkubwa unakesha JF kishabikia mauaji ya watoto.
 
Columbus Ohio ni capital city ya wasomali, sijawahi kuona watu wachafu kama wale na akili zao zile zile za kuzaa watoto 20 ili waje kutawala baadaye,hizi akili niliziona London na miji ya Europe sasa wanataka kuzileta US
🤣🤣🤣🤣 Wenyewe US wapo kimya, wewe mmakonde wa Tandahimba inakuhusu nini?
 
Back
Top Bottom