Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

Waaukumbi.

American colleges and universities involved in the Palestinian protests:

- Yale University
  • University of Texas
  • Columbia University
  • Massachusetts Institute of Technology
  • University of Minnesota
  • University of California, Berkeley
  • University of Pittsburgh
  • University of Rochester in New York
  • Tufts University
  • University of Michigan
  • University of Maryland
  • University of Southern California
  • The Ohio State University
  • Emerson College in Massachusetts
  • Swarthmore College in Pennsylvania
  • California Polytechnic University, Humboldt.
========================
Vyuo vikuu na vyuo vikuu vya Amerika vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina:

- Chuo Kikuu cha Yale
  • Chuo Kikuu cha Texas
  • Chuo Kikuu cha Columbia
  • Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts
  • Chuo Kikuu cha Minnesota
  • Chuo Kikuu cha California, Berkeley
  • Chuo Kikuu cha Pittsburgh
  • Chuo Kikuu cha Rochester huko New York
  • Chuo Kikuu cha Tufts
  • Chuo Kikuu cha Michigan
  • Chuo Kikuu cha Maryland
  • Chuo Kikuu cha Kusini mwa California
  • Chuo Kikuu cha Jimbo la Ohio
  • Chuo cha Emerson huko Massachusetts
  • Chuo cha Swarthmore huko Pennsylvania
  • Chuo Kikuu cha California Polytechnic, Humboldt.

View: https://x.com/sprinterfactory/status/1783374926293905769?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://x.com/resist_05/status/1783254937776074790?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

UP DATE

🚨 BREAKING: ORODHA YA VYUO VIKUU VYOTE VILIVYO NA MAZINGIRA YA KUSAIDIA PALESTINA.

Katika muda wa saa 24, idadi ya kambi zilizoripotiwa kuunga mkono Gaza katika kampasi za vyuo vikuu nchini Marekani, Australia, na Ufaransa imeongezeka maradufu, zikitaka kutengwa na Israel/Uzayuni.

Kambi mpya zilianzishwa katika SciencesPo Paris, Chuo Kikuu cha Melbourne, Chuo Kikuu cha George Washington, Chuo Kikuu cha Kaskazini Mashariki, na mahali pengine.

Jumla ya kambi zilizoripotiwa zinazoendelea duniani kote kuunga mkono Palestina zimeongezwa hadi 41 na:

💠Vyuo 38 vilivyo na kambi za Palestina ndani ya Marekani vimeripotiwa:

1- Chuo Kikuu cha Brown - Providence, RI
2- Chuo Kikuu cha Ufundi cha Jimbo la California - Humboldt, CA
3- Chuo Kikuu cha Jiji la New York - New York City, NY
4- Chuo Kikuu cha Columbia - New York City, NY
5- Chuo cha Emerson - Boston, MA
6- Chuo Kikuu cha Emory - Atlanta, GA
7- Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Florida - Miami, FL
8- Chuo Kikuu cha Jimbo la Florida - Tallahassee, FL
9- Chuo Kikuu cha George Washington - DC
10- Chuo Kikuu cha Harvard - Cambridge, MA.
11- Chuo Kikuu cha Indiana - Chuo Kikuu cha Purdue - Indianapolis, IN
12- Chuo Kikuu cha New York - New York City, NY
13- Chuo Kikuu cha Kaskazini-Mashariki - Boston, MA
14- Chuo Kikuu cha Northwestern - Evanston, IL
15- Chuo Kikuu cha Jimbo la Ohio - Columbus, OH
16 - Chuo Kikuu cha Princeton - Princeton, NJ
17- Chuo Kikuu cha Mchele - Houston, TX
18- Texas A&M - College Station, TX
19- Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts (MIT) - Cambridge, MA
20- Chuo Kikuu cha Jimbo la Michigan - East Lansing, MI
21- The New School - New York City, NY
22- Chuo Kikuu cha Michigan - Ann Arbor, MI
23- Chuo Kikuu cha Tufts - Medford, MA
24- Chuo Kikuu cha Arizona - Tucson
25- Chuo Kikuu cha California huko Berkeley - Berkeley, CA
26- Chuo Kikuu cha Maryland - College Park, MD
27- Chuo Kikuu cha Miami - Oxford, OH
28- Chuo Kikuu cha Minnesota - Minneapolis, MN
29- Chuo Kikuu cha New Mexico - Albuquerque, NM
30- Chuo Kikuu cha North Carolina huko Charlotte - Charlotte, NC
31- Chuo Kikuu cha North Carolina huko Chapel Hill - Chapel Hill, NC
32- Chuo Kikuu cha Pittsburgh - Pittsburgh, PA
33- Chuo Kikuu cha Rochester - Rochester, NY
34- Chuo Kikuu cha Kusini mwa California - Los Angeles, CA
35- Chuo Kikuu cha Texas, Austin - Austin, TX
36- Chuo Kikuu cha Texas huko Dallas - Dallas, TX
37- Chuo Kikuu cha Vanderbilt - Nashville, TN
38- Chuo Kikuu cha Yale - New Haven, CT

💠Vyuo vikuu viwili nchini Australia:
  • Chuo Kikuu cha Sydney
  • Chuo Kikuu cha Melbourne

💠Chuo kikuu kimoja nchini Ufaransa:
- Sayansi Po - Paris

Usitarajie mwendelezo, hayo yalikuwa ni matukio kwa ajili ya kupinga bajeti iliyoidhinishwa kusaidia jeshi la Israel.
Wameshaonyesha hisia zao maisha yanarudi kawaida.
US huwa hivyo ingawa hamtaki kusema jambo hili limelenga kupinga bajeti ya kusaidia jeshi la Israel.
 
Usiletee porojo weka ushahidi hao watoto walioliwa na Hamas yaani unamezeshwa habari na walokole wenzako unaleta JF? JF sehemu ya porojo ukiweka ushahidi acha kulaani najitoa JF.
Mliua zaidi ya wayahudi 1000 ndio maana mnatandikwa leo, ila akili yako mbuzi iliyojaa udini bado unakataa, Gaza wanastahili wanachopatiwa leo na ndio dawa ya wauaji
 
Wengi wao wahamiaji wa dini pendwa na ant jew, Acha waandamane tuu labda nao wanaweza kujifunza kuwa wavumilivu kwa wengine ambao sio wa imani yao, na mbona walivyouliwa wayahudi 1000 ule usiku kabla kuanza kichapo cha Gaza hawaongelei
Huo usiku kama waliuliwa wayahudi 1000 na Hamas, kwanini Israel imeataa kufanyika uchunguzi ili duniia ijue nini hasa kilichotokea 7 October??
 
Usijifanye unanijua sana JF siyo sehemu ya porojo na bahati nzuri kuna kila data za member ukileta hizo
Posts unazosema najitoa JF kama usipoleta basi nakuweka kwenye group la mashoga wazee wasiyo jitambua nakupa na jina rasmi Shoga Miittoga.

Nasubiri hizo post
October 7 ulikuwa humu unafurahia usijizime data!

Ninachokijua hayo maandamo yataisha Muda si mrefu kwasababu hata raiasi atakayeshinda uchaguzi wa Marekani ( Iwe Trump) ameshasema atasimama na Israel. So moto uko pale pale hata miaka 10 ijayo ni kushusha mabonu hapo Palestina na kuhakikisha Kila kitu kinasagika.

Wanafiki wakubwa nyie.

Waafrica wenzako congo , Ethiopia na Sudan wanakufa Kila siku Kwa vita zaidi ya hao wapalestina ila hatuoni sehemu yoyote duniani wakiandamana

Nigeria vikundi vya kiislam Kila siku vinaua wakristo ila huoni sehemu yoyote wakiandamana.

Nasema hivi, katika kipindi Israel anapaswa kumwaga moto ni hiki kipindi. Hakikisha hapo Gaza habaki hata sisimi.

Kwa kipindi cha miaka miwili tu 2003-2005 hapo Sudan waliuawa raia 200,000 na vikundi vya kiislam hatukuona mtu yoyote duniani akikemea.

Congo Hadi Sasa si tangu mwaka 1998 wameshauliwa watu milion 5 hakuna mtu yoyote duniani uliona anaandamana. Je ni kwasababu sisi weusi hatuna thamani ? Halafu wewe mpuuzi uko kisijiu badala uwaze waafrica wenzako unawaza watu wasiotutakia mema watu weusi!!!

Gaza wamekufa watu 30,000 mnasema ni genocide. Wajinga nyie!

God Bless Africa
 
Attachments

  • Screenshot_20240426-075337.png
    Screenshot_20240426-075337.png
    321.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240426-075156.png
    Screenshot_20240426-075156.png
    284.8 KB · Views: 2
Leo wanawategemea vijana wa Marekani waandamane kushinikiza vita ya Gaza isitishwe.
Wasomi wa nchi za Kiarabu wanakula tende tu hawana habari za maandamano ya kusitishwa vita Gaza.
Mamlaka ya Hamasi ilikaa na kuridhika kabisa kufanya vita na Israeli.
HIvibhawakufikiria madhara yake (nini kitatokea) (tutafanyaje)

Au mlitaka Hamasi wapige tu makombola Israeli na kuuwa watu na kuteka watu.
Israeli wabakie kimya tu.

Mwacheni hama ale matunda ya matendo yake.
Kutaka sifa za kijinga tu

Wahenga walisema
"Mchuma Janga Hula na Wakwao"

Kama Chama cha Siasa hakifahamu dunia hii inaendeshwa vipi na ni nani ndio vinala,
hicho chama ni cha kuhuni tu, hakina sifa ya kuiongoza nchi.
Madhala yake ndio hayo.
 
October 7 ulikuwa humu unafurahia usijizime data!

Ninachokijua hayo maandamo yataisha Muda si mrefu kwasababu hata raiasi atakayeshinda uchaguzi wa Marekani ( Iwe Trump) ameshasema atasimama na Israel. So moto uko pale pale hata miaka 10 ijayo ni kushusha mabonu hapo Palestina na kuhakikisha Kila kitu kinasagika.

Wanafiki wakubwa nyie.

Waafrica wenzako congo , Ethiopia na Sudan wanakufa Kila siku Kwa vita zaidi ya hao wapalestina ila hatuoni sehemu yoyote duniani wakiandamana

Nigeria vikundi vya kiislam Kila siku vinaua wakristo ila huoni sehemu yoyote wakiandamana.

Nasema hivi, katika kipindi Israel anapaswa kumwaga moto ni hiki kipindi. Hakikisha hapo Gaza habaki hata sisimi.

Kwa kipindi cha miaka miwili tu 2003-2005 hapo Sudan waliuawa raia 200,000 na vikundi vya kiislam hatukuona mtu yoyote duniani akikemea.

Congo Hadi Sasa si tangu mwaka 1998 wameshauliwa watu milion 5 hakuna mtu yoyote duniani uliona anaandamana. Je ni kwasababu sisi weusi hatuna thamani ? Halafu wewe mpuuzi uko kisijiu badala uwaze waafrica wenzako unawaza watu wasiotutakia mema watu weusi!!!

Gaza wamekufa watu 30,000 mnasema ni genocide. Wajinga nyie!

God Bless Africa
Asante mkuu kwakuwa mkweli.
Ila kuhusu hao.
Kwanza hawa watu hawajitambui kuwa wana nafasi gani kwenye hii dunia.

Pili wanachojua wao ni kuwa ndugu zao ni hao wa katika imani tu.

Kwahiyo madhira wanayoyapata watu wa imani tofauti na yao hawana habari nayo kabisa.
Wako radhi Waafrika wenzao wote wasio katika imani wafe, kuliko kujeruhiwa na jiwe mtoto wa Kiarabu wa imani.

Mbaya zadi wanapenda sana kulialia na kuonewa huruma na wasio wa imani yao pendwa pale wanapo shindwa jambo lao.

Katika dunia hii hao ni watu wanafiki namba moja.

Wanaongea hili lakini wanamaanishe lile.

Cha msingi kwao ni kupigania imani tu.
Hawana huruma hata chembe kwa wasio wa imani yao.
 
Nacheka sana kuwasoma Waisrael weusi wa Tanzania kutoka maeneo mbali mbali, Uyole, Ngudu, Rombo, Maramba Mawili, Makete. Wengi wao ni wakolole hawa wanaroho ngumu kuzidi Waisrale wa Tel Aviv😀
 
Wana create sympathy ya magaidi wa kiislamu yasije jitoa muhanga kuua watu USA. Na USA wajanja, wanahakikisha hamas anapata kichapo cha mbwa koko huku wanajifanya kumuonea huruma hahaha
Israel ndio gaidi.Na nchi nyingi zinakubaliana hivyo.
 
Asante mkuu kwakuwa mkweli.
Ila kuhusu hao.
Kwanza hawa watu hawajitambui kuwa wana nafasi gani kwenye hii dunia.

Pili wanachojua wao ni kuwa ndugu zao ni hao wa katika imani tu.

Kwahiyo madhira wanayoyapata watu wa imani tofauti na yao hawana habari nayo kabisa.
Wako radhi Waafrika wenzao wote wasio katika imani wafe, kuliko kujeruhiwa na jiwe mtoto wa Kiarabu wa imani.

Mbaya zadi wanapenda sana kulialia na kuonewa huruma na wasio wa imani yao pendwa pale wanapo shindwa jambo lao.

Katika dunia hii hao ni watu wanafiki namba moja.

Wanaongea hili lakini wanamaanishe lile.

Cha msingi kwao ni kupigania imani tu.
Hawana huruma hata chembe kwa wasio wa imani yao.
Katika kipindi ambacho Israel hapaswi kurudisha hatua nyuma ni hiki kipindi. Akirudisha hatua nyuma imekula kwake na ninashukuru moto unazidi kumwagwa hapo middle east kuhakikisha heshima inarudi!

Hawa watu wa Imani Kali sio wa kufanya nao mazungumzo ni kuwapiga haswa! Hao ni magaidi.

JAMANI MIMI sio mkristo Mimi naabudu mizimu yangu ya kiafrica asijetokea mtu akasema eti ni mkristo hahaha! Ni mdau wa Amani ila panapotokea kashikashi acha nguvu ya ziada itumike.

Russia pia huwezi kwenda na Imani zako za Kiislam ufanye hizo kampeni halafu ubaki salama. China kule Waislamu wa Uighur wanapata tabu si mchezo!

Hii Imani bila kuchakatwa wanakuwa sumu Kali.

Na walivyokuwa wajinga ile Tarehe 7 October walijazana humu kufurahia vile vifo tulionya sana sana tukasema Retaliation ya Israel itakuwa mara 10000 ya alichofanya Hamas walijitapa na kusema Hamas ni BABA LAO. Haya Leo kiko wapi!

Kiongozi wa Hamas alikuwa amejificha huko UAE Nako kafukuzwa Kwa pressure ya Marekani. Watu wako site wanataka akitoka tu walale nae mbele. Inasemekana anataka kuhamia Yemen.

Sasa kama nchi za kiislam tu zinamuomba ahame ila Kuna jitu liko bonyokwa linaunga mkono Hawa wajinga.
 
Attachments

  • Screenshot_20240426-082718.png
    Screenshot_20240426-082718.png
    239.4 KB · Views: 2
Nacheka sana kuwasoma Waisrael weusi wa Tanzania kutoka maeneo mbali mbali, Uyole, Ngudu, Rombo, Maramba Mawili, Makete. Wengi wao ni wakolole hawa wanaroho ngumu kuzidi Waisrale wa Tel Aviv😀
Endelea kucheka tu wenzako huko Gaza wanatangulizwa kwenda kukutana na mabikra 120
 
Wenzako wanashangilia huko Hamas kashinda vita.
Wewe sijui ni Mwarabu wa wapi.
 
Back
Top Bottom