Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
- Thread starter
- #121
Inawezekana hukusoma post za mwanzo,suala la kutokuwepo na somo hili kwenye vyuo vyenu limehusishwa na imani,sasa kama ni hivyo inakuwaje leo somo hili lipo?Na hapo ndo utaamini kuwa hivi vitu vinaletwa kwa makusudi tu ili mradi watu wapate pa kuanzia hayo ya walikuwa wameingizwa chaka yametoka wapi.
Unapofanya jambo ambalo wakati wa nyuma ulikuwa unadhani ni kosa,sio kujua kuwa ulikuwa umekosea?
Sasa sio chaka hilo?
Hapana,sio lazima lakini inapotokea kuwa vyo vyote vya watu fulani hawafundishi somo fulani au kozi fulani huoni hilo ni tatizo?Hivi ni Hiyo kozi ya sheria ni lazima sana kutolewa katika vyuo vyote duniani.
Swali lako linakuwa na msingi kwasababu mlikuwa hamfundishwi sheria na jambo hilo linasababu za kiimani,kwahiyo sasa unapopata kesi na kuja kusimamiwa na mtu ambae wewe unamuona anafanya dhambi ni sawa?Wapi imeandikwa msabato akipata kesi basi ni lazima atetewe na msabato mwenzie.
Hapana wewe inaonekana hujiamini,ni kwanini unadhani hivi wakati sababu iko wazi?Kuna vitu watu wanaanzisha just ku take your attention. Maake mada za wasabato ulikuwa umepita muda bila kujadiliwa naona watu waneona waanze tena.
Ni kweli jibu limekuja kuwa watafundisha sheria,lakini kama watu tunaotumia akili zetu vizuri jibu hilo limezua jibu lingine baada ya kuonekana mmeanza kufundisha karibuni tu,kwanini?ulitaka kujua why wasabato hawafundishi law umepewa vyuo vinavyofundisha law then your assumption is wrong sababu vyuo vipo.
Nini kiliwafanya huko mwanzoni msifundishe?
Kama una jibu si ujibu halafu uone kama kuna jambo ambalo limejificha kama unavyodai wewe?
Hebu jibu basi!