Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

Na hapo ndo utaamini kuwa hivi vitu vinaletwa kwa makusudi tu ili mradi watu wapate pa kuanzia hayo ya walikuwa wameingizwa chaka yametoka wapi.
Inawezekana hukusoma post za mwanzo,suala la kutokuwepo na somo hili kwenye vyuo vyenu limehusishwa na imani,sasa kama ni hivyo inakuwaje leo somo hili lipo?

Unapofanya jambo ambalo wakati wa nyuma ulikuwa unadhani ni kosa,sio kujua kuwa ulikuwa umekosea?
Sasa sio chaka hilo?
Hivi ni Hiyo kozi ya sheria ni lazima sana kutolewa katika vyuo vyote duniani.
Hapana,sio lazima lakini inapotokea kuwa vyo vyote vya watu fulani hawafundishi somo fulani au kozi fulani huoni hilo ni tatizo?
Wapi imeandikwa msabato akipata kesi basi ni lazima atetewe na msabato mwenzie.
Swali lako linakuwa na msingi kwasababu mlikuwa hamfundishwi sheria na jambo hilo linasababu za kiimani,kwahiyo sasa unapopata kesi na kuja kusimamiwa na mtu ambae wewe unamuona anafanya dhambi ni sawa?
Kuna vitu watu wanaanzisha just ku take your attention. Maake mada za wasabato ulikuwa umepita muda bila kujadiliwa naona watu waneona waanze tena.
Hapana wewe inaonekana hujiamini,ni kwanini unadhani hivi wakati sababu iko wazi?
ulitaka kujua why wasabato hawafundishi law umepewa vyuo vinavyofundisha law then your assumption is wrong sababu vyuo vipo.
Ni kweli jibu limekuja kuwa watafundisha sheria,lakini kama watu tunaotumia akili zetu vizuri jibu hilo limezua jibu lingine baada ya kuonekana mmeanza kufundisha karibuni tu,kwanini?

Nini kiliwafanya huko mwanzoni msifundishe?
Kama una jibu si ujibu halafu uone kama kuna jambo ambalo limejificha kama unavyodai wewe?

Hebu jibu basi!
 
Hata mimi naamini kuna vita ya baridi dhidi ya usabato..!
..Hata hivyo,vyuo vya wasabato kama zilivyo taasisi zingine, zina sheria zake na mipaka ayake kutokana na kanuni zilizowekwa. Kwa nini kunazuka maswali ya ajabu? Bahati mtu amejibiwa, lakini bado hataki kuelewa, anataka jibu alilojiwekea kichwani..!
Siamini kama na wewe unaandika madai ya namna hii ....

Si wewe uliesema haya maneno hapa chini?
Mwenyewe nimeshangaa sana. Sababu za kutokuwa nazo ni zipi? Wasabato tuna kazi kweli..!
Inakuwaje sasa unakuja na kujidai kuuliza sababu ya mimi kuhoji wakati na wewe uliuona huo uhalali wa kuhoji mwanzo na sasa unajidai huuoni?

Kama kuna kanuni na sheria za kutokufundisha sheria,kwanini usingenijibu mwanzo badala yake na wewe unaungana na huyu jamaa kunishangaa wakati na wewe ulifanya kitu kile kile?

Yaani sasa unona kuna vita dhidi ya Usabato wakati na wewe uliwashangaa wasabato wenzako kwa kutofundisha sheria,wewe ni wa ajabu sana ....

Yaani sasa unona ni swali la ajabu wakati uliunga mkono na kudai Wasabato mna kazi,ni mtu wa aina gani wewe?

Nimejibiwa nini hadi sasa?
 
Ila inaonekana wameanza karibuni tu maana kwa wale waliosoma miaka mitano nyuma hawajui hii kitu ....

Kwahiyo inawezekana waligundua wameingizwa chaka na sasa wamejirekebisha ..!!

Miaka mitano nyuma? ! Mi naongelea vyuo vya 1940's. .....jambo la kuelewa ni kuwa kanisa la SDA halijawahi kuwa against na masomo ya sheria tangu kuanzishwa kwake kama taasisi. Kwani kila chuo ni lazima kifundishe course zote? !
 
Ishu ni mmeanza lini kufundisha..? Maana hata women ordination mmeanza juzi tuu hata mwaka haujaisha.....Dogma ya miaka na miaka mmevunja juzi juzi...

So we have a lot of issues to discuss lets agree on this kisha anzisha thread ya issue nyingine ... Mi naongelea vyuo vya 1940's. .....jambo la kuelewa ni kuwa kanisa la SDA halijawahi kuwa against na masomo ya sheria tangu kuanzishwa kwake kama taasisi. Kwani kila chuo ni lazima kifundishe course zote? !
 
Kama sio mimi kuchimba na kujua kuwa sasa women Ordination ni ruksa ningeendelea kujua ni katazo kwa Kanisa la Kisabato wanawake kuhubiri...Kumbe ni juzi juzi tuu GC imefungua mnyororo ulifungwa tangu mwaka 1843....

Ofcourse hii ya LL.B nayo ni kama Women Ordination..

Ahsanta..

Jaribu kufanya vitu systematically, kama ulikua na mada kuhusu women ordination open a new thread uanze nayo,
Sidhani kaama mada husika inahusiana na women ordination
 
Siamini kama na wewe unaandika madai ya namna hii ....

Si wewe uliesema haya maneno hapa chini?

Inakuwaje sasa unakuja na kujidai kuuliza sababu ya mimi kuhoji wakati na wewe uliuona huo uhalali wa kuhoji mwanzo na sasa unajidai huuoni?

Kama kuna kanuni na sheria za kutokufundisha sheria,kwanini usingenijibu mwanzo badala yake na wewe unaungana na huyu jamaa kunishangaa wakati na wewe ulifanya kitu kile kile?

Yaani sasa unona kuna vita dhidi ya Usabato wakati na wewe uliwashangaa wasabato wenzako kwa kutofundisha sheria,wewe ni wa ajabu sana ....

Yaani sasa unona ni swali la ajabu wakati uliunga mkono na kudai Wasabato mna kazi,ni mtu wa aina gani wewe?

Nimejibiwa nini hadi sasa?

Mbona kuna vyuo vingine vya njee vinafundisha?
 
Jaribu kufanya vitu systematically, kama ulikua na mada kuhusu women ordination open a new thread uanze nayo,
Sidhani kaama mada husika inahusiana na women ordination

Vinalandana..mfumo uliotumika kuhalalisha kimoja ndo huo huo umetumika kuhalalisha lingine..
 
Miaka mitano nyuma? ! Mi naongelea vyuo vya 1940's. .....jambo la kuelewa ni kuwa kanisa la SDA halijawahi kuwa against na masomo ya sheria tangu kuanzishwa kwake kama taasisi. Kwani kila chuo ni lazima kifundishe course zote? !

Inawezekana hujaelewa nilichouliza;

Sijauliza vyuo vimeanzishwa lini,nimeuliza muda ambao masomo ya sheria yameanza kutolewa kwenye vyuo vyenu kwasababu kuna watu wanasema hakukuwa na somo hilo kwenye vyuo vyenu miaka mitano iliyopita!
 
Kama source yako ni ''watu'' ambao wapo misinformed unategemea kupata majibu sahihi?
Kwahiyo hata ile link nilikupa huku bother kusoma?

Mayb this will help..........kila website ya chuo utaona muda chuo kilipoanza na kozi zilizopo na miaka hizo kozi zilipoanza....

Jambo la kuelewa ni kuwa hakukuwahi kuwa na katazo la kufundisha masomo ya sheria...Hakukuwahi kuwa na kikao cha kukatazaaaaaaaaaaaaaaa

Jambo ambalo unapaswa kufahamu ni kuwa kulikuwa na katazo la kufundisha Evolution kwa wanafunzi wa katika department ya Biology chuo kikuu cha Sierra kutokana na chuo kufuata narrative za Darwin na wanaayansi wengine walioamini katika evolution ila hili la Sheria halijawahi kuwepo.

http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Seventh-day_Adventist_colleges_and_universities

Inawezekana hujaelewa nilichouliza;

Sijauliza vyuo vimeanzishwa lini,nimeuliza muda ambao masomo ya sheria yameanza kutolewa kwenye vyuo vyenu kwasababu kuna watu wanasema hakukuwa na somo hilo kwenye vyuo vyenu miaka mitano iliyopita!
 
Haya mambo yanaenda kwa siri kubwa sana katika ngazi za juu, hujui ni kwanini papa na makasisi wanavaa kibalagashia wakati waumini hawaruhusiwi wakati wa ibada, mnabatiza kwa kunyunyiza kichwa wakati yesu alibatizwa kwa maji mengi,
hayo hamuyaoni? women ordination vote imefanywa na mapandikizi kutoka RC na hayo tunayajua yalishatabiliwa siwezi kushangaa 1 wakorintho 14;34-37 ,waefeso 5;22-24,mwanzo3;16, toka kuumbwa kwa ulimwengu mwanamke yuko chini ya mwanume kwa kila jambo iwe nyumbani au kanisani wewe unasoma biblia gani?
Cha msingi ishi kulingana na maandiko yasemavyo sio maamuzi ya viongozi wako maana hao ni binadamu tu na sio malaika
TAHADHARI; Ole wako umtumainie mwanadamu.
Eiyer tazama mambo hayo.. Ntuzu nawe wasemaje kuhusu hayo mapandikizi ya GC..?

Mugambo mnaruka na kukanyagana..
 
Last edited by a moderator:
ila haina shida ngoja watusaidie kututangazia kanisa letu the more they shout the more people wants to know how the adventist church is?haijalishi iwe positive or negative wanavyo taja taja watu watakuwa interested kuchimba na kuutafuta ukweli. infact wanatusaidia katika kutoa madodoso ya kuokoa roho za watu kazi inakuwa nyepesi. Alisema hata msipo piga kelele ninyi basi mawe yataongea. Naona mawe mwaka huu yanaongea sana kwa kweli na hiini dalili ya kuwa tumenyamaza sana
Ni kweli kiongozi.
 
Siamini kama na wewe unaandika madai ya namna hii ....

Si wewe uliesema haya maneno hapa chini?

Inakuwaje sasa unakuja na kujidai kuuliza sababu ya mimi kuhoji wakati na wewe uliuona huo uhalali wa kuhoji mwanzo na sasa unajidai huuoni?

Kama kuna kanuni na sheria za kutokufundisha sheria,kwanini usingenijibu mwanzo badala yake na wewe unaungana na huyu jamaa kunishangaa wakati na wewe ulifanya kitu kile kile?

Yaani sasa unona kuna vita dhidi ya Usabato wakati na wewe uliwashangaa wasabato wenzako kwa kutofundisha sheria,wewe ni wa ajabu sana ....

Yaani sasa unona ni swali la ajabu wakati uliunga mkono na kudai Wasabato mna kazi,ni mtu wa aina gani wewe?

Nimejibiwa nini hadi sasa?
Jaribu kutuloza akili na kutafakari kile mtu anachoandika. Nimeona uhalali wa kujadili mada coz hata Mimi sikujua kuwa vyuo vyetu havitoi shahada ya sheria, na ulikuwa na haki ya kuleta mada hii ili kupata ufahamu. Tatizo linakuja pale unapokuja kwa dhumuni la kukebehi na kuchokonoa zaidi ya kutaka kujua, huku ukilazimisha majibu unayohitaji ujibiwe. Unapewa links usome lakini bado unahitaji ligi kwa kuhoji what seems pretty obvious.

Hiyo ndio sababu ya mimi kuhoji na si linginw
 
Watu wanauliza vitu ambavyo majibu yake washa ya set kwenye vichwa vyao then kwanini uulize sasa kama majibu unayo
 
Eiyer, kuna link moja ya vyuo vya kisabato hapa US. Sijajua kwa Tanzania lakini wao wana degree za sheria na kama usabato ni usabato sidhani kama wasabato wa Tanzania wanapolicy tofauti na wengine.

Law and legal studies wana major hizi na vyuo husika.

[TABLE="width: 612"]
[TR]
[TD]Major
[/TD]
[TD]College/University Where Offered
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Criminal Justice
[/TD]
[TD]LSU , LLU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pre-Law
[/TD]
[TD]SAU , WAU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pre-Law Political Science
[/TD]
[TD]AU , LSU , OU , PUC , SW , UC , WWU , WAU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pre-Law Political Studies
[/TD]
[TD]WAU
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Link hii SDA majors and programs | Adventist Colleges and Universities
 
Last edited by a moderator:
Eiyer siku zingine unakurupuka kweli kweli. Kama hoja ni hiyo ungeuliza, je ni duniani kote ( ingia google) baada ya kujiridhisha then ungejenga hoja.

Sasa ukiambiwa wazungu wanajisaidia juicy nayo utaleta humu kuuliza? Jishughishe na ujenge critical argument ukiweza weka na reference harvard style
 
Last edited by a moderator:
Kama source yako ni ''watu'' ambao wapo misinformed unategemea kupata majibu sahihi?
Kwahiyo hata ile link nilikupa huku bother kusoma?

Umeelewa nilichokuandikia au unataka kupoteza muda wa watu tu hapa?
 
Eiyer siku zingine unakurupuka kweli kweli. Kama hoja ni hiyo ungeuliza, je ni duniani kote ( ingia google) baada ya kujiridhisha then ungejenga hoja.

Sasa ukiambiwa wazungu wanajisaidia juicy nayo utaleta humu kuuliza? Jishughishe na ujenge critical argument ukiweza weka na reference harvard style

Kwanza ni kweli vyuo vyenu vilikuwa havitou hiyo degree

Halafu kikubwa zaidi ukisoma post za Wasabato utagundua kuwa wapo ambao walikuwa hawajui jambo hili na kuna wengine wanalijua

Pia inaonekana degree hii imeanza kutolewa nyakati hizi

Kwasababu hizo hapo juu mada hii imeleta manufaa kwenu na kwa wale ambao sio wasabato,lakini kikubwa ni kuwa bado hamjasema ni kwanini hamkuwa mnafundisha sheria kwenye vyuo vyenu

Kimsingi sijakurupuka ila wewe ndio umekurupuka!
 
Back
Top Bottom