Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

Hakika huu ni utahira na uidiot uliokithiri..na wee mleta mada unajiita msomi??! Haya ni maajabu Tz. Haya we unayejidai una gpa ya 2 et kisa umesoma public U' vesirty, unaweza ata kuitetea bas ili tujue kwel you'r gpa is nithing coz u hav something on mind..sasa gpa 2 competent 0, so what ar yu arguing! Shame on you..kama nina first clas yangu ya RUCO o wataeva any colege n im competent enough to defend it whats yur problem...idiot
...show me what you know n not the colege/ unversity yu studied or yur gpa
 
mkuu hujamjibu, yeye anauliza kwanini gpa za vyuo vya private zipo juu tofauti na vyuo vya government,?
 
Daaah hapo umenifurahisha kwa hiyo avatar...

Tunaimba nyimbo moja sasa....

Ahsante kwa kunisikiliza....

CC: Excel

Aise mkuu vipi yule dogo mwenye sura ya mgogoro kashaomba radhi? Maana nimechepuka kwenye uzi kama dakika 10 tu nakuta uzi umepotea
 
Last edited by a moderator:
Aise mkuu vipi yule dogo mwenye sura ya mgogoro kashaomba radhi? Maana nimechepuka kwenye uzi kama dakika 10 tu nakuta uzi umepotea

Ha ha ha ha

hakuombaaaaaaaaa
 
Hivi Kidato cha nne umhitimu wapi(Shule ),na ulipata daraja gani la Ufaulu?
Mukobs unasoma Kozi gani?
Tuanzie hapa Mkuu
 
Daaah hapo umenifurahisha kwa hiyo avatar...

Tunaimba nyimbo moja sasa....

Ahsante kwa kunisikiliza....

CC: Excel

:coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee: najinywea maziwa mie nsije nikafa kwa sumu ya mchana!!! lols!!

wapi Dinazarde!!!...???:focus:.:welcome:
 
Last edited by a moderator:
:coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee: najinywea maziwa mie nsije nikafa kwa sumu ya mchana!!! lols!!

wapi Dinazarde!!!...???:focus:.:welcome:

Mbona ulipotea ghafla basi nikajua Ban tayari
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…