Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanafunzi wa coet ,?. Kwa uandishi huu sidhani hata form4 ushamaliza
Hivi unajua kilichompata mleta mada kweli???kweli vyuo vya private ma GPA Makubwa ila,wanauwezo wakawaida sana.
..ilo halina ubishi
napita
Mkuu habari ya siku??napita
yan mi sijaona kitu cha kubishana khs private and govt university. la muhimu ni kujadiliana na kusaidiana namna gani tufanye ili tuibadili nchi yetu hii iliyo na majanga kibao.By the way uwe umesoma private au govt, je unaweza kuendesha maisha yako? na taifa kwa ujumla, mengine hayana maana hata tukibishana mpk kesho mshindi hawez patikana
Twende kule kwenye uzi wako!
Daaah hapo umenifurahisha kwa hiyo avatar...
Tunaimba nyimbo moja sasa....
Ahsante kwa kunisikiliza....
CC: Excel
Aise mkuu vipi yule dogo mwenye sura ya mgogoro kashaomba radhi? Maana nimechepuka kwenye uzi kama dakika 10 tu nakuta uzi umepotea
Hahahah achana nae huyo mkuu muongo
jamaa umenyoshwa leo!!
Mwanafunzi wa CoET ,?. kwa uandishi huu sidhani hata form4 ushamaliza
Mkali wa Tambo naona leo umekunywa Se.m.en kwa Lazima Nyambafu
Nina hakika hajafika hata 2nd year! Uwezo wa research umepata wapi?
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya PRIVATE kama SAUT,RUCo(Ruaha university college),MWENGE UNIVERSITY,JORDAN UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY,ST.JOSEPH UNIVERSRTY,TUMAINI DAR,TUMAINI IRING,TUMAINI MAKUMIRA,ST.JOHN,TEKU,SEKOMU,EUKENFORD,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A za 4 zimejaa hadi unashangaa ! na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya PRIVATE wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara
:coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::coffee: najinywea maziwa mie nsije nikafa kwa sumu ya mchana!!! lols!!
wapi Dinazarde!!!...???:focus:.:welcome: