Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!

Huna baraka za Mungu, ni kigeugeu, huaminiki na hudhaminiki, therefore you are merely wasting your valuable energies expecting something in return that won't materialize irrespective of your laborious touting............
 
Ha ha ha
Mkuu yule tunamfahamu, huyu ni nani?
 
Unahangaika kusifia mtu (ua la kondeni) Leo yupo kesho hayupo?

Tena usifikiri Mtangulizi wake hakufaa mbele za Mungu na ndio maana akalala.
Nakuelewesha tu kwa Imani nzuri iliyozoeleka duniani, watu wanaokubaliwa na Bwana, (kitu chema) huwa hawana maisha marefu duniani wasije wakachafuka wakawa wa Ulimwengu huu.

Kwa sababu hiyo, wanaokubaliwa na Bwana,
Huwa si wa Ulimwengu huu.

*Please, Pascal do not 'like my comment', because you are of this world!


Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Walio wengi wako kwenye migongo ya Mama zao! Hawajui umbali wa safari....Wacha tuwapuuze.
 
Mkuu kama ipo ipo tu.

Ila jambo la muhimu sana kwenye maisha ni kufanya jambo sahihi.

Hata kama wanadamu hawatafurahi ila muhimu zaidi ni kufanya mambo ambayo yanamfurahisha Mungu.

Mali na vyeo vya duniani ni vitu vya kupita tu.

Don't stress yourself.

Furahia maisha to the fullest.
 
Naendelea kusisitiza Wakuabudiwa, Kutukuzwa na Kusujudiwa ni Mmoja tuu, The One and Only God, Mungu Baba Pekee.

Hivyo nawaomba please
please please, tusitake kumponza na huyu kama tulivyomponza yule, kwa hizi lugha za machukizo...
Paskali
Naunga mkono.
Kazi iendeleee, Mh Rais Samia Ndiye Joshua wetu atakayetufikisha Kanaan, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka na wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Katika kusifu, tusipitilize tukavuka mipaka, badala ya kusifu ukajikuta unatukuza na kumponza kwa machukizo, kuna vitu sisi binadamu tuna mamlaka navyo, na kuna vitu hatuna mamlaka navyo, ni vitu vya mamlaka KUU YAKE YEYE!. Anayejua kama Mama Samia ndiye Joshua wetu sio wewe!, sio sisi, wala sio yeye Mama Samia bali its only HIM!, YEYE!. Tuendelee kusifu lakini tusivuke mipaka!, tukamponza na huyu!.
Hili nimelizungumza hapa Kumkubali, Kumsifu na Kumpongeza ni Kumheshimu, Sio Kumuabudu, Kumtukuza na Kumsujudu!. Wakuabudiwa, Kutukuzwa na Kusujudiwa ni Mungu Pekee!.

P
 
Anatafuta huruma ya kura bunge la AfricaMashariki,anatia huruma huyu mzee
Kaishapigwa chini tayari. Ila jamaa ana kama gundu, Jiwe alimkataa na Mama naye anajifanya hamwoni kabisa pamoja na kutoa sifa kedekede
 
Mimi Paschal Mayalla kwa tathimini yangu binafsi nilikushauri kwamba achana na siasa jikite katika utunzi wa vitabu katika maeneo matatu

1. Uandishi wa habari
2. Sheria
3. Siasa ya nchi isiyoegemea chama fulani cha siasa

Kamwe hautakuja kujuta maana utakula matunda mema ya akili zako mwenyewe bila kumtegemea mtu fulani mwenye mamlaka akijisikia ndio aruhusu wewe kufunguka kiuchumi, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…