Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #41
Baada ya Dr. Bashiru kufanya ukosoaji, wale waabudu watu wamekuja juu kama moto wa kifuu na kumshukia kama mwewe anayesarandia kifaranga cha kuku!, utadhani Dr. Bashiru amemkufuru Mungu!. Aliyekosolewa ni binadamu!, tuendelee kumsifu kwa kuupiga mwingi, ila hala hala, tusipitilize, tukajikuta ni kama kumuabudu fulani au kumtukuza fulani hivyo tukajikuta tunamponza bila kujijua!. Kusifu, sifuni kwa kiasi, tusipitilize badala ya kusifu ikageuka machukizo!.Wanabodi,.
Naendelea kusisitiza wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni mmoja tuu, "The One and Only God - Mungu Baba Pekee"
Hivyo nawaomba please
please, please, tusitake kumponza na huyu kama tulivyomponza yule kwa hizi lugha za machukizo.
Paskali.
Baada ya Dr. Bashiru kufanya ukosoaji, wale waabudu watu wamekuja juu kama moto wa kifuu na kumshukia kama mwewe anayesarandia kifaranga cha kuku!, utadhani Dr. Bashiru amemkufuru Mungu!. Aliyekosolewa ni binadamu!, tuendelee kumsifu kwa kuupiga mwingi, ila hala hala, tusipitilize, tukajikuta ni kama kumuabudu fulani au kumtukuza fulani hivyo tukajikuta tunamponza bila kujijua!. Kusifu, sifuni kwa kiasi, tusipitilize badala ya kusifu ikageuka machukizo!.
P
baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru Mungu. Kuwa kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza mtu fulani kunahesabiwa, ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudia, kitu ambacho si kweli.
Naendelea kusisitiza wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni mmoja tuu, "The One and Only God - Mungu Baba Pekee"
Hivyo nawaomba please
please, please, tusitake kumponza na huyu kama tulivyomponza yule kwa hizi lugha za machukizo.
Paskali.
Hakuna mtu Wanafanya rais ni Mungu!.Mlishafanya raisi ni MUNGU
Wanabodi,
Leo kuna SMS nimetumiwa, niliposema humu kuhusu hiyo SMS imeleta kizaazaa na kutoleana maneno mabaya
hadi baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru Mungu. Kuwa kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza mtu fulani kunahesabiwa, ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudia, kitu ambacho si kweli!.
Paskali.
Naunga mkono hoja Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!Binadamu Hasifiki wala haabudiki hata malaika wa mbinguni hawasifiki wala hawaabudiki
Sasa hawa CHAWA wa Kwenye siasa wanachofanya Siyo Kusifu wala Kuabudu Washua wao bali Wanawalaghai huku wakijua kabisa wanachofanya ni Utapeli uliotukuka
Na Mwanasiasa anayeamini CHAWA wanampa Sifa na Ibada huyo anajidanganya Roho na Nafsi yake
Mmepewa Bure toeni bure
Mungu wa mbinguni awabariki sana
Mlale Unono 😀
Nakubaliana na wewe kwa Asilimia 1000%1000 kuwa Anayefaa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni mmoja naye ni Mwenyeezi Mungu peke yake hana mshirika wake. Wewe Unampongeza Rais Samia kwa yal anayo yafanya lakini ukae ukijuwa kuna mambo mengi hayaja yafanya Rais Samia mpka sasa kwa mfano suala la rushwa Rais Samia mpaka leo hajalitafutia ufumbuzi kila sehemu kuna rushwa kwamfano sisi Wana disapora tunapata shida saan kupata haki zetu za Passport ukienda ubalozini kwa vitu vyeti vinavyohusika ili wewe upate haki yako ya Passport ya kusafiria unazungshwa na kuambia suala lako linapelekwa Makao Makuu ya Uhamiaji mjini Dares-Salam .Wakisha lipeleka huko Makao Makuu ya Uhamiaji wanakuzungusha kutokupa Passport yako.Wanakuwekea vizingiti kibao ili ushindwe kupata Passport yako mpya. Ina maanisha hapo wanataka utoe rushwa ndipo wakupe Passport yako mpya. Wakati wa Mwenda zake RIP Magufuli mambo kama hayo hayakuwepo watu walikuwa wakifanya kazi sawsawa. Kwa hiyo Suala la Rushwa mpaka sasa linamshinda Rais wetu Mama Samia bado hajalitafutia ufumbuzi hilo suala la Rushwa limekuwa ni donda Sugu la Saratani. Bila ya Rushwa Tanzania huwezi kupata haki yako. Kuna masuala ya Umeme wa mgao kuna masuala ya viwanja vya ndege Aiport wafanya kazi wa Aiport wakorofi sana unapo rudi wanakusumbuwa sana ili mradi uwape Rushwa ya pesa. Kuna malalamiko mengi ya Wananchi Wa mijini kwenye Mitandao na vijijini. Yote hayo Mama Rais bado hayaja shughulikia ipasavyo. Ninamshauri Rais Mama yetu awe anatembelea kila sehemu nchini Tanzani ili apate kujuwa Wananchi wanavyolalamika na mambo ya Ufisadi wa viongozi alio waweka yeye madarakani katika serikali yake ili apate kutambuwa shida za Wananchi na kuweza kuzitatua sio Rais Mama Samia kusafiri nje kila wakati wakati wananchi wake wanapata shida sana kimaisha. Apunguze safari za nje Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan ashughulikie sana masuala ya wananchi. Huo ndio ushauri wangu.Wanabodi,
Leo kuna SMS nimetumiwa, niliposema humu kuhusu hiyo SMS imeleta kizaazaa na kutoleana maneno mabaya
hadi baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru Mungu. Kuwa kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza mtu fulani kunahesabiwa, ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudia, kitu ambacho si kweli!.
Pongezi hizo ni za kumkubali kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka wenye kuleta matokeo chanya. Hivyo pongezi ni za kumpa moyo aendelee kufanya makubwa na sio kumuabudu, kumtukuza au kumsujudu.
Naendelea kusisitiza wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni mmoja tuu, "The One and Only God - Mungu Baba Pekee"
Hivyo nawaomba please
please, please, tusitake kumponza na huyu kama tulivyomponza yule kwa hizi lugha za machukizo.
Nawatakia sensa njemau tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa!
Paskali.
Wanabodi,
kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza mtu fulani kunahesabiwa, ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudia, kitu ambacho si kweli!.
Pongezi ni za kumpa moyo aendelee kufanya makubwa na sio kumuabudu, kumtukuza au kumsujudu.
Naendelea kusisitiza wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni mmoja tuu, "The One and Only God The Almighty - Mungu Baba Pekee" Allah.
Hivyo nawaomba please
please, please, tusitake kumponza na huyu kama tulivyomponza yule kwa hizi lugha za machukizo.
Paskali.
Hii ndio serikali mnayoiabudu na kuisujudia kila uchao,
Hakutakuwa ma mswalie Mtume
Mkuu Erythrocyte, pleaseHapa JF utadhalilika sana, unayekesha kumpigania Samia Suluhu ambaye viongozi wote wa ccm wanamuabudu
Wanabodi,
Naendelea kusisitiza wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni mmoja tuu, "The One and Only God - Mungu Baba Pekee"
Paskali.
Mkuu Kiranga , hili ndilo swali lako la ziku zote tangu nimejiunga jf, na kila siku huwa nalijibu kuwaKwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.