princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
wamegoma kututibia lakini famly planning lazma iendeleeAibu kubwa zaidi ni kuhudhuria mkutano wa family planning wakati madaktari wamegoma
kumaliza chuo ndo wazo linalozunguka kichwani, nna usongo wa kuingia mtaani