Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

kweli mshindi itakua ngumu kupatikana labda mimi niwe mchangiaji wa mwisho
 
Richard s. mabala ndiye mwandishi wa kitabu cha "hawa the bus driver" tulikisoma form one mnakumbuka?
 
Mnamkumbuka mtu kama Ben R. Mtobwa??hawa ndio waandishi wa kusifia..sio huyo mabala mzungu koko tu
 
Nguruwe ni haramu kwa wengine lakini kwetu ni halali
 
halali kulipa kodi kwa kaizari lakini sio kwa kikwete
 
rais ni taasisi na sio maliyamtu na familia yake
 
Mabadiuliko yatakuja tu-hata kwa kuwaondoa wenye madaraka kwa Nguvu Ya Umma
 
Wakubwa(Mafisadi) ndio hao hao tutakaowapigia kura 2015.
 
Back
Top Bottom