Wa mwisho ndiyo mshindi

Kilimanjaro ni mlima mrefu jamani sio wote wanaweza panda mpaka mwisho.
 
kitakupoteza kweli, unahitaji kua makini
 
makini kama mm mapost kibao bila bila kwa mchongo huu hatapatikana mshindi hata miaka 800 na hii thread ni ya kiddish

Kiddish ndio nini mkuu? Hebu acha lugha za kihuni, kama ningekua Mode ningekupiga BAN
 
Kiddish ndio nini mkuu? Hebu acha lugha za kihuni, kama ningekua Mode ningekupiga BAN

Ban kwani ni lugha ya kihuni? Kidish kwa lugha nyepesi twaweza sema kitoto/utoto na nyingine nyingi.
 
nyingi ni kifupi cha nyingine, kumbe ndo maana ya kiddish? lugha ya kiingereza ni pana vibaya
 
american pie 3 ni bonge moja la movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…