Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nafafanua kwa mifano...kuna watu wameish miaka nenda rudi bila ya kutoleana mahari na kuish kwa aman kwnye ndoa na furaha na kuna watu wametoleana mahari mamilioni na ndoa kuvunjka wiki...je heshma ya ndoa bado wahisi ni mahari
 
wawili ndiyo heshima ya ndoa na si mahari kivipi? fafanua

Nafafanua kwa mifano...kuna watu wameish miaka nenda rudi bila ya kutoleana mahari na kuish kwa aman kwnye ndoa na furaha na kuna watu wametoleana mahari mamilioni na ndoa kuvunjka wiki...je heshma ya ndoa bado wahisi ni mahari
 
Nafafanua kwa mifano...kuna watu wameish miaka nenda rudi bila ya kutoleana mahari na kuish kwa aman kwnye ndoa na furaha na kuna watu wametoleana mahari mamilioni na ndoa kuvunjka wiki...je heshma ya ndoa bado wahisi ni mahari
mahari inabakia kuwa ndiyo kigezo kikuu cha heshima kule ukweni.
 
Kidogo kitakachopatikana katika mihangaiko yako isiwe sababu ya wewe kutomalizia mahari.
 
Waridhike?mbna Mahari naona imekuwa jambo kweli bila kufkiria upendo moyoni
moyoni kuna pendo la aina moja tu, hili ni kweli kabisa, ila kumbuka pia kwamba mahari ndiyo inakamilisha hili tendo
 
Tofauti na wenzetu wa ughaibuni mahari si kitu cha msingi kwani inataka zalilisha jinsia moja
Moja ya tatizo kubwa kwa wenzetu wa ughaibuni ni kwamba ndoa zao kuwa za masharti na hata mikataba; haya yote yanatokana na kudharau kitu kinaitwa mahari. Mahari ina nafasi yake kwenye ndoa.
 
Ndoa ya kweli inafungwa moyoni co kanisani wala mckitini wala mahakamani wala kwa chief. Mahari haina haja kama upendo upo moyoni wa kweli
 
kweli hapo umenena mkuu, lakini je tujiulize hao wazee wetu walipoweka kitu Mahari kwamba Kijana wa kiume aliyempeda kijana wa kike yaani msichana ili awe mweza wake wa maisha basi ni vizuri akatoa chochote kile kwenye familia ya msichana huyo kama Mahari, Je wazee hawa hawakufikiria jambo hili kwa kina?
 
Kwa kina nikifikiri naona haswa waltumia hyo ka ishara ya umiliki kwani zamani mwanamke alitumika kama chombo..ulikuwa waweza mmiliki tu kitu ambacho kinapingwa sasa vikali kuwachukulia kama hvo..so ili kuhamasisha usawa wa kijinsia yatupasa mambo kama mahari yasitishwe
 
Back
Top Bottom