x.jamex1
Member
- Aug 2, 2014
- 76
- 27
kweli hapo umenena mkuu, lakini je tujiulize hao wazee wetu walipoweka kitu Mahari kwamba Kijana wa kiume aliyempeda kijana wa kike yaani msichana ili awe mweza wake wa maisha basi ni vizuri akatoa chochote kile kwenye familia ya msichana huyo kama Mahari, Je wazee hawa hawakufikiria jambo hili kwa kina?
Kwa kina nikifikiri naona haswa waltumia hyo ka ishara ya umiliki kwani zamani mwanamke alitumika kama chombo..ulikuwa waweza mmiliki tu kitu ambacho kinapingwa sasa vikali kuwachukulia kama hvo..so ili kuhamasisha usawa wa kijinsia yatupasa mambo kama mahari yasitishwe