wawili ndiyo heshima ya ndoa na si mahari kivipi? fafanuaMahari sio heshma ya ndoa. Heshma ya ndoa ni baina ya watu wawili
wawili ndiyo heshima ya ndoa na si mahari kivipi? fafanua
lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
ujana ni maji ya moto ila pia kumbuka Ujana una mwisho.mawazo ya nini? acha watu wale ujana.
mahari inabakia kuwa ndiyo kigezo kikuu cha heshima kule ukweni.Nafafanua kwa mifano...kuna watu wameish miaka nenda rudi bila ya kutoleana mahari na kuish kwa aman kwnye ndoa na furaha na kuna watu wametoleana mahari mamilioni na ndoa kuvunjka wiki...je heshma ya ndoa bado wahisi ni mahari
mahari inabakia kuwa ndiyo kigezo kikuu cha heshima kule ukweni.
noma kidogo janeth1ukweni noma.
Mahari si lazima iwe mamillion, hata bata wawili wanatosha cha msingi wakwe waridhie.Kidogo kitakachopatikana katika mihangaiko yako isiwe sababu ya wewe kutomalizia mahari.
Mahari si lazima iwe mamillion, hata bata wawili wanatosha cha msingi wakwe waridhie.
moyoni kuna pendo la aina moja tu, hili ni kweli kabisa, ila kumbuka pia kwamba mahari ndiyo inakamilisha hili tendoWaridhike?mbna Mahari naona imekuwa jambo kweli bila kufkiria upendo moyoni
Tendo ambalo kila mtu lazima alipitie kwa wakati tofauti
Moja ya tatizo kubwa kwa wenzetu wa ughaibuni ni kwamba ndoa zao kuwa za masharti na hata mikataba; haya yote yanatokana na kudharau kitu kinaitwa mahari. Mahari ina nafasi yake kwenye ndoa.Tofauti na wenzetu wa ughaibuni mahari si kitu cha msingi kwani inataka zalilisha jinsia moja
Moja ya tatizo kubwa kwa wenzetu wa ughaibuni ni kwamba ndoa zao kuwa za masharti na hata mikataba; haya yote yanatokana na kudharau kitu kinaitwa mahari. Mahari ina nafasi yake kwenye ndoa.
kweli hapo umenena mkuu, lakini je tujiulize hao wazee wetu walipoweka kitu Mahari kwamba Kijana wa kiume aliyempeda kijana wa kike yaani msichana ili awe mweza wake wa maisha basi ni vizuri akatoa chochote kile kwenye familia ya msichana huyo kama Mahari, Je wazee hawa hawakufikiria jambo hili kwa kina?Ndoa ya kweli inafungwa moyoni co kanisani wala mckitini wala mahakamani wala kwa chief. Mahari haina haja kama upendo upo moyoni wa kweli