Wa mwisho ndiyo mshindi

Kwa kina nikifikiri naona haswa waltumia hyo ka ishara ya umiliki kwani zamani mwanamke alitumika kama chombo..ulikuwa waweza mmiliki tu kitu ambacho kinapingwa sasa vikali kuwachukulia kama hvo..so ili kuhamasisha usawa wa kijinsia yatupasa mambo kama mahari yasitishwe
 
yasitishwe kivipi mkuu, naomba nikuulize swali - hivi hata wewe ungependa upewe (uoe) mwanamke bure bure tu? huoni huo ndiyo udhalilishaji mkubwa kabisa wa kijinsia?
 
Kijinsia naona sio udhallshaj ila ni ishara ya usawa coz humfanyi yeye kama bidhaa ya kumnunua
 
kumnunua binadamu mwenzako ni nadharia tofauti kabisa na hii, hapa tunaongea kutoa kijizawadi kidogo tu (mahari) kwa wazazi wa msichana kama asante kwa matunzo mema waliyompatika binti yao toka utoto hadi wewe ukamwona kwamba anafaa kuwa mamaa wa nyumba yako, mtoto aliyelelewa akaleleka!!
 
Akaleleka!! Mimi sioni kama hii ni hoja, kama ni hoja kwani mwanaume yeye hakulelewa akaleleka?Kwa nini zawadi iwe ya upande mmoja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…