BOWTHRUSTER
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 389
- 156
Humu JF mimi ndo naongoza kwa kukataa matusi.
Matusi ni nini jamani?? Nani alietofautisha matusi na maneno mazuri..? Alijuaje kama shikamoo ni salam na nyoko ni tusi???
Moyo wa aliyekupenda kwa dhati muda wote unawaza lini atakuoa hata kama hajui wapi ataipata mahari.
Mahari siku hizi wazazi wengi ndio wanafanya mtaji wao, ndio maana vijana tunaogopa kuoa zaid ya kudunga mimba
Mimba yangu changa
Mwanafunzi shuleni kitandani mwalimu
sana alimpenda mwanamke ndio maana akaoa kirahisi