Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

mtapata kwa chadema kwa wanvyowadanganya halafu mtawakumbuka CCM lakini labda mtakuwa mmechelewa hawa jamaa ni wakuda wanajifanya wao ni malaika na kuwa CCM ni mashetani sawa kama nyie ni malaika mngekuwa mmechukua nchi miaka yote hii
 
hii inaonesha nyie sio malaika ila mna uchu pia wa madaraka kweli CCM WANA MAPUNGUFU LAKINI MBONA MAZURI HAMYASEMI
 
hamyasemi kwa sababu na nyie pia hamna mnachotaka zaidi ya matumbo yenu wanasiasa asilimia nyingi ni wakuda tu
 
tu ni neno linalotumika kuonesha hakuna kingine cha ziada au hakuna mwingine wa ziada kwa hivyo naamini mshindi ni mimi tu.
 
Back
Top Bottom