Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ni mimi tu ndiye mshindi wa mwisho kwenye uzi huu. Wengine wote chali. Nipeni changu!

Fateni sheria mnatuharibia mchezo wetu neno linalotakiwa ni la mwisho ndo lianze sio maneno ya mwisho ni neno la mwisho na. mifano mlipewa au mnajua lakini mnajitoa akili kwa sababu mambo magumu
 
TULIPOISHIA VIZURI KABLA YA WAKUDA KUINGILIA KAMA WEHU WADAU ENDELEENI NA MTIRIRIKO HAPO

tu ni neno linalotumika kuonesha hakuna kingine cha ziada au hakuna mwingine wa ziada kwa hivyo naamini mshindi ni mimi tu.
 
Yaani hapo juu inaonyesha jamaa ndio mshindi kabisa ameshinda sasa mpeni hicho kidude mlichoahidi kumpa mshindi ,kama hamtoi zawadi nawapeleka TRA kuwasitaki ,hata kwa waziri nitafika maana hapo ndio mwisho hata maisha ya duniyani hapwoh ndo mwisho na hii gemu ilikuwa imemaliza mapema ila jamaa alisurvive misukosuko mingi tu kafa ,msije na kusoma maombolezo na itimah itakuwa mnamdhulumu na kumfanyia faulu wakati amekufa ,au muanzishaji unasemaje ,jamaa ndio ajamaliza kusema akafa.
 
Akafa..ataandaliwa na walio hai akazikwe na niaminivyo huko aendako atakutana na malaika watumishi wa mungu watamhoji alichokuwa akifanya duniani.!
 
Akafa..ataandaliwa na walio hai akazikwe na niaminivyo huko aendako atakutana na malaika watumishi wa mungu watamhoji alichokuwa akifanya duniani.!

Bro stori imeshafikia mwisho sasa haieleweki unaendeleza kitu gani maana hata ukiunganisha hueleweki ,hivi unaamini vipi huko aendako wakati wewe hujafika ,acha kutudanganya ,ya huko tuyawache hukohuko.Mtu akishakufa ndio mwisho wa kila kitu chake hapa duniani hakuna awezacho kufanya.
 
Back
Top Bottom