@ ikitokea tuhuma za ufisadi ni lazima iundwe tume? ni alama ya kuuliza @
Story ilishafika mwisho kitambo jamaa alikufa ,Najitangazia Ushindi baada ya serikali kulalia matokeo.
tume ya warioba ilisha maliza muda wake.......!##&!
unaendelea mpka hapo was mwisho atakapopatikana
kweli kabisa ila kama wew ndo ungekua raisi ungefanya hivyo?
Ovyo haliwezi kuwa neno la mwisho kama unataka kuwa mshindi anza na neno hili `` ~~ '' -- ^^ ``
' 'usipokubali kuliwa na wewe huwezi kula' ' -jk
zlaza ndo kilugha gani tena?
kwetu kila siku ni kama sherehe