Mashahara wa dhambi ni mauti,,,, ipo siku hili kundi kubwa la Watanzania linalopewa elimu mbovu isiyo na viwango litageuka kuwa hatari kwa walowezi wachache wenye neema..... maana HAKUNA LISILO NA MWISHO.
Mwisho lazima tubadilishane maisha angalau kwa dakika chache..wa masaki wahamie uswazi aka mbagala kwa tumbo na wa uswazi waende masaki apo tutaheshimiana hilo linawezekana kama kijana itakua zamu yako...kuwa chachu ya mabadiliko
Hatari kubwa ni ccm wanaotumia ujinga wa watanzania wengi kama rasheyd kuwa madarakan wakitumia mwavuli wa amani amani gani wakat albino wanauawa kama kuku!? Watu wanatekwa na hao hao viongozi? Tunahitaji mabadiliko ya fikra