Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Bidii na maarifa ndiyo silaha muhimu katika kufanikisha malengo.
 
Malengo pekee ndiyo dira ya bidii na maarifa kufikia mafanikio. Bila dira hakuna kitu.
 
Yake aliyoyapanga ni kwenda kuishi msituni na si heaven
 
heaven ndo mahali pekee pa kupumzika watenda mema pindi watakapotoka hapa duniani!
 
Back
Top Bottom