Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Moja kwa moja kabatini' hahahaha CHELSEA kashabeba ndoo ya kwanza! kazi kwenu haters!
 
wenyewe tutashuhudia CHELSEA akibeba ubingwa wa ligi kuu koz yule MANSISTER CITY kashasanda!
 
Kashasanda kweli, maana hata juzi alisema watanzania mnacha kuandika vilivyofanyika mnakaa kazi kupiga porojo na kulaumu kwenye mitandao ya jamii
 
Jamii yetu haioni vitu kama VILIVYO bali inaona vitu kama ILIVYO
 
Ilivyo ligi kuu England bado hajuna timu iliyojihakikishia ubingwa mpaka sasa, hii siyo bundesliga.
 
epl ni ligi ngumu kuliko zote duniani na usishangae ata burnley wakaja kumaliza big 4 msimu huu huku mabingwa wakiwa CHELSEA
 
Chelsea na Bayern ndo timu pekee zilizopo kwenye hatua ya mtoano UEFA Champ. msimu huu zenye uwezo wa kuihenyesha Barcelona vilivyo.
 
vilivyo kamilika vikosi vyao hasahasa CHELSEA ndo wanamjua sana BARCELONA nadhani man city wangewaomba ushauri cfc jinsi ya kumkaba MESSI
 
Afrika inaangamizwa na Wazungu kupitia waafrika wachache wenye uchu wa madaraka...
 
Madaraka Selemani ni mwanasoka mahiri aliyewahi kucheza soka Tanzania.
 
Back
Top Bottom