007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 483 Mar 1, 2015 #4,921 Moja kwa moja kabatini' hahahaha CHELSEA kashabeba ndoo ya kwanza! kazi kwenu haters!
MwanaSaikolojia Senior Member Joined Jan 9, 2015 Posts 197 Reaction score 61 Mar 1, 2015 #4,922 Haters wangu washaanza kunipenda..nahitaji wapya
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,098 Reaction score 3,038 Mar 1, 2015 #4,923 Wapya hakuna
jitu kupe Senior Member Joined Jan 24, 2015 Posts 187 Reaction score 68 Mar 2, 2015 #4,924 Hakuna wa kuwazuia chelsii mwaka huu katika kubeba vikombe
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,098 Reaction score 3,038 Mar 2, 2015 #4,925 Vikombe vitaisha watajibeba wenyewe
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 483 Mar 2, 2015 #4,926 wenyewe tutashuhudia CHELSEA akibeba ubingwa wa ligi kuu koz yule MANSISTER CITY kashasanda!
Lupamba's grandson JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,232 Reaction score 1,196 Mar 2, 2015 #4,927 Kashasanda kweli, maana hata juzi alisema watanzania mnacha kuandika vilivyofanyika mnakaa kazi kupiga porojo na kulaumu kwenye mitandao ya jamii
Kashasanda kweli, maana hata juzi alisema watanzania mnacha kuandika vilivyofanyika mnakaa kazi kupiga porojo na kulaumu kwenye mitandao ya jamii
K Kifuna JF-Expert Member Joined Aug 7, 2008 Posts 442 Reaction score 118 Mar 2, 2015 #4,928 Jamii yetu haioni vitu kama VILIVYO bali inaona vitu kama ILIVYO
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Mar 2, 2015 #4,929 Ilivyo ligi kuu England bado hajuna timu iliyojihakikishia ubingwa mpaka sasa, hii siyo bundesliga.
jitu kupe Senior Member Joined Jan 24, 2015 Posts 187 Reaction score 68 Mar 2, 2015 #4,930 Bundesliga ni ligi isiyokuwa na ushindani sana tofauti na epl
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 483 Mar 2, 2015 #4,931 epl ni ligi ngumu kuliko zote duniani na usishangae ata burnley wakaja kumaliza big 4 msimu huu huku mabingwa wakiwa CHELSEA
epl ni ligi ngumu kuliko zote duniani na usishangae ata burnley wakaja kumaliza big 4 msimu huu huku mabingwa wakiwa CHELSEA
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Mar 2, 2015 #4,932 Chelsea na Bayern ndo timu pekee zilizopo kwenye hatua ya mtoano UEFA Champ. msimu huu zenye uwezo wa kuihenyesha Barcelona vilivyo.
Chelsea na Bayern ndo timu pekee zilizopo kwenye hatua ya mtoano UEFA Champ. msimu huu zenye uwezo wa kuihenyesha Barcelona vilivyo.
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 483 Mar 2, 2015 #4,933 vilivyo kamilika vikosi vyao hasahasa CHELSEA ndo wanamjua sana BARCELONA nadhani man city wangewaomba ushauri cfc jinsi ya kumkaba MESSI
vilivyo kamilika vikosi vyao hasahasa CHELSEA ndo wanamjua sana BARCELONA nadhani man city wangewaomba ushauri cfc jinsi ya kumkaba MESSI
king Chuga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 510 Reaction score 52 Mar 2, 2015 #4,934 messi ndo nani me sjui kuhusu mpira
leop JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 550 Reaction score 523 Mar 2, 2015 #4,935 mpira ni sentens tata
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 483 Mar 2, 2015 #4,936 leop said: mpira ni sentens tata Click to expand... Tata Madiba atakumbukwa sana kwa maendeleo aloyafanya leo South sio Africa
leop said: mpira ni sentens tata Click to expand... Tata Madiba atakumbukwa sana kwa maendeleo aloyafanya leo South sio Africa
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Mar 2, 2015 #4,937 Afrika inaangamizwa na Wazungu kupitia waafrika wachache wenye uchu wa madaraka...
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Mar 2, 2015 #4,938 Madaraka Selemani ni mwanasoka mahiri aliyewahi kucheza soka Tanzania.
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,921 Reaction score 6,646 Mar 2, 2015 #4,939 Taanzania Taanzaniaaaaa.....Nakupenda kwa moyo wooote.
Phoenix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 10,585 Reaction score 15,468 Mar 2, 2015 #4,940 Tanzania naipenda mpaka naumwa!