Tanzania naipenda mpaka naumwa!
Vijijini wanaishi maisha ya ujima, ndio maana sirudi Nanjelenje.
vigumu sana kuona huu mtiririko ukiharibika hasahasa kama watu wote mtajielewa
mtajielewa wapi wakati watu wengine wanapiga stori katika uzi huu.
Hapoo? hapo ulipo kama unapenda pepo kwa nini uogope kifo?