Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Sana kabisa.Natamani kumfahamu Mwana.Ana sauti nzuri ya kike
cc mwana
 
Ngoko za ''mwana'' zinavutia.
Jamani nileteeni mwana hapa ili niwaachie ushindi
 
Ushindi napewa mimi kwa sababu hii ndo post ya mwisho na namaliza kwa kichina xie xie
 
Xie xie ndio kichina? Hii si sawa na sisi?
Nakuambieni mimi nataka mwana aje hapa,vinginevyo ushindi ni wangu.
CC mwana
 
Xie xie ndio kichina? Hii si sawa na sisi?
Nakuambieni mimi nataka mwana aje hapa,vinginevyo ushindi ni wangu.
CC mwana

Mwana mwana kitu gani watu tumeona mitoto ijekuwa mwana! Leteni ushindi hapa.
 
Hapa hupati ushindi.Kanitafutie Mwana nikuachie kikombe! Bila hivyo hupati kitu mzee,kwikwikwi
 
Ubishi mnao nyie! Nimewapa sharti dogo ili niwatangazie ushindi wenu.
Yuko wapi mtoto mwenye sauti nzuri,Anayeitwa Mwana?
 
mwana kamu zis wei! Kuna mtu anatutunishia msuli kua kashinda wakati bado makidamakida.
 
Last edited by a moderator:
ID yangu ni hiihii,yule wa zamani atakuwa kalimwa talaka za kutosha
 
Back
Top Bottom