Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Sijaelewa mlichokifanya mpaka sasa,mnataka nifunge mjadala😡?
 
Kushindwa mtashindwa wote,hapa nashinda mimi na Octoba anashinda Dr.Slaa
 
Allaaaaaah! Tumechoka na ufisadi jamani,tuionee huruma Tanzania,huyu ruba ccm anaisababishia nchi anaemia!
Kura ni kwa Dr. Slaa
 
Dr. Slaa mbona amekuwa kimya sana jamani? tunataka machachari yake!
 
Back
Top Bottom