Mb8? Haitoshi kuvuruga kwa makusudi huu mchezo. MTWAsi b5-click usijali,naelewa kuwa kanuni inakuja ku be-skipped pale zaidi ya mmoja wanapocomment kwa pamoja.Atakaye chelewa kupost ataonekana kutokuzingatia kanuni.
Karibuni dinner wandugu
Aluta continuer Nadhani kikwete alikuwa kiongozi aliyejitahidi kujenga kwake na kuwaacha wananchi njia panda..! Kampeni za mwaka huu ni kupigania rushwa na kipaumbele kwa ajira za vijana