Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kupata kiongozi bola ndani ya ccm nisawa nakutafuta Mwana Mke bikra ndani ya wodi ya wazazi."
 
wazazi wangekufundisha vizuri wakusinzia usingejaribu kuharibi huu mlolongo!
 
Sikuelewa kabisa name naona maluweluwe. Wambuzi yuko wapi jamani aloanzisha?
 
Mb8? Haitoshi kuvuruga kwa makusudi huu mchezo.
MTWAsi b5-click usijali,naelewa kuwa kanuni inakuja ku be-skipped pale zaidi ya mmoja wanapocomment kwa pamoja.Atakaye chelewa kupost ataonekana kutokuzingatia kanuni.
Karibuni dinner wandugu
 
Last edited by a moderator:
Aluta continuer Nadhani kikwete alikuwa kiongozi aliyejitahidi kujenga kwake na kuwaacha wananchi njia panda..! Kampeni za mwaka huu ni kupigania rushwa na kipaumbele kwa ajira za vijana
 
Back
Top Bottom