MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Mabaya sana
Kiangazi jua kali
Kali sanaKiangazi jua kali
Sana jua linawaka mpaka mifukoni hamna kituKali sana
Kitu kinatokea wapi na hali ngumuSana jua linawaka mpaka mifukoni hamna kitu
Sent from my SM-A105F using Tapatalk
Ngumu tena zaidi na hii Covid 19 ndo imemaliza kabisa
Kabisa biashara haziendiNgumu tena zaidi na hii Covid 19 ndo imemaliza kabisa
Sent from my SM-A105F using Tapatalk
Jiwe la chuma
kiangazi kinawatesa sana wakazi wa UKARA
chuma kiko motoniWrite your reply... samahani kwa kuvuruga mtiririko
Mtitiriko gani na wewe?Write your reply... samahani kwa kuvuruga mtiririko
Kabisa watu wanavunjana