Kimasihara wanakula tunda
Katikati ya bustani
Eden aliishi adamu na hawa.
Mshindi wewe Mmh!
Mbali ni mbinguni
Mbinguni wataenda waliookokaMbali ni mbinguni
Raha na amani
Familia ni baba mama na watoto
Watoto ni neema tunapaswa kuwahudumia vilivyoFamilia ni baba mama na watoto
Kuwahudumia vilivyo watoto, ni wajibu wa kila mzaziWatoto ni neema tunapaswa kuwahudumia vilivyo
Mzazi ni tunu lazima aheshimiwe.
Aheshimiwe kwa dhati kama tunavyo heshimu macho yetu mawili..Mzazi ni tunu lazima aheshimiwe.
kati kati ya kanga kuna ukuni ambao hutumika kumpiga mwanamke