Behaviour interview questions can fail you to get the job if u dont answer them parferctly. Tushafika mwisho sasa jamani na mimi ndio mshindiKuishi Nako raha unajionea Mengi
Betrayal is the choice not behavior[emoji682]
mengi tayari marehemu, nasikia waliobaki wanagombania urithiKuishi Nako raha unajionea Mengi
Betrayal is the choice not behavior[emoji682]
hawana maana wanaonunua ndege wakati watu wanakufa njaa
Njaa kwa sababu hakuna Pesahawana maana wanaonunua ndege wakati watu wanakufa njaa
pesa ilivunja vichuguu milima ikatambaa, pesa kiburi kikuu alonayo shujaaNjaa kwa sababu hakuna Pesa
Shujaa wa kweli huwa mlinzi kwa wenzakepesa ilivunja vichuguu milima ikatambaa, pesa kiburi kikuu alonayo shujaa
Shujaa wa kweli huwa mlinzi kwa wenzake
Wenzake walikomaa,yeye akakimbia umandeShujaa wa kweli huwa mlinzi kwa wenzake
Umande wa mvua umetandaa sehemu kubwaWenzake walikomaa,yeye akakimbia umande
Kubwa la kushauri ni kwamba hapa hatutoi kiki.Mfano Mr @Posibilty.Ni mara kadhaa sasa anaharibu utaratibuUmande wa mvua umetandaa sehemu kubwa
Mshindi ni mimi hapa wewe labda uwe namba mbili.Behaviour interview questions can fail you to get the job if u dont answer them parferctly. Tushafika mwisho sasa jamani na mimi ndio mshindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu ulipotezwa na mkuu mmpja aliamua kutembea jina la mtu badala ya neno la mwshoKubwa la kushauri ni kwamba hapa hatutoi kiki.Mfano Mr @Posibilty.Ni mara kadhaa sasa anaharibu utaratibu
Utaratibu ulipotezwa na mkuu mmpja aliamua kutembea jina la mtu badala ya neno la mwsho
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamu wenyewe ndiyo huu kama vile kachumberi ktk pilau...Mwisho ukifika mshindi atapatikana. Lakini wale wasiofuata mtiririko sahihi wa mchezo wanauondolea utamu
Pilau video zake ni nzuri kuangalia mkiwa wawiliUtamu wenyewe ndiyo huu kama vile kachumberi ktk pilau...
Wawili wawili ndio mpango kwa kila kiumbePilau video zake ni nzuri kuangalia mkiwa wawili
Kiumbe Chochote Duniani siku zake zinahesabika