yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kale katoto hakana adabu
Adabu ni ulezi ktk uzazi haunaga junsia wala ukoo...Kale katoto hakana adabu
Ukoo wao umejaa panya wengiAdabu ni ulezi ktk uzazi haunaga junsia wala ukoo...
Wengi walaghai wana mapenzi ya uwongo hapa mjini..Ukoo wao umejaa panya wengi
Mjini kila kitu fursaWengi walaghai wana mapenzi ya uwongo hapa mjini..
Fursa zingine utapeli
Umeisha vip wakati madogo hawajafanya mitihaniUkiisha corona mwaka mwaka wa masomo unakuwa umeisha
Mitihani ya tabia nchi ni changamotoUmeisha vip wakati madogo hawajafanya mitihani
Mitihani ya tabia nchi ni changamoto
Maisha ni zawadi kila mmoja amejaaliwa basi tuitumikieChangamoto ni muhimu katika maisha
Tuitumikie nguvu kazi tuliyopewa na MunguMaisha ni zawadi kila mmoja amejaaliwa basi tuitumikie
Mungu wa watu weupe ndo Mungu huyohuyo wa watu weusi.
Weusi wa mkaa ndio usafi wakeMungu wa watu weupe ndo Mungu huyohuyo wa watu weusi.
Mabaya waliyo wafanyia jirani zao hayasahauliki !!
Hayasahauliki kwa kua yanaumizaMabaya waliyo wafanyia jirani zao hayasahauliki !!