bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,146
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini corona itaisha
Itaisha vip wakati sirikali inaogopa kutoa taarifa za wagonjwa wapya, wanaopona na wanaokufaLini corona itaisha
Wanaokufa wengi shida ni tatizo la kupumuaItaisha vip wakati sirikali inaogopa kutoa taarifa za wagonjwa wapya, wanaopona na wanaokufa
Maambukizi yamekuwa mengi hasa mitaani.Kupumua hewa mbele ya mwenzio ni kusababisha maambukizi
Amani ni nini?Wamekufa ni mipango ya Mungu,tuwaombee wapumzike kwa amani
Sent using barakoa
Kukifahamu kizaza na taharuki zake ndipo utatatua mushkeli !!
Kukifahamu kizaza na taharuki zake ndipo utatatua mushkeli !!
Mushkeli ni neno la kiswahil, kiarabu au kihindi?Kukifahamu kizaza na taharuki zake ndipo utatatua mushkeli !!
Kihindi itakuwa ndo asili yakeMushkeli ni neno la kiswahil, kiarabu au kihindi?
Asili yake hata Mimi siijui labda tuwaulize wataalam wa lughaKihindi itakuwa ndo asili yake
Ipi inapwerepweta?
Ipi inapwerepweta?
Inaperepweta si wimbo wa Aslay huoIpi inapwerepweta?