Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Tamaa mbayaJikubali kwa kila hali, usikate tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamaa mbayaJikubali kwa kila hali, usikate tamaa
Mbaya kama utatamani mambo ya kijinga.Tamaa mbaya
Kijinga tu watu wanadanganywa kuwa corona ipoMbaya kama utatamani mambo ya kijinga.
Ipo wapi?! Watuonyeshe mana tangu mkulu aseme wote kazini sijasikia tena.Kijinga tu watu wanadanganywa kuwa corona ipo
Tena juzi siku ya wananchi watu wamefurika uwanjani kama wote.. Bongo noma!Ipo wapi?! Watuonyeshe mana tangu mkulu aseme wote kazini sijasikia tena.
Noma na nusu, mpaka jirani wanauliza siri yetu ni nini..Tena juzi siku ya wananchi watu wamefurika uwanjani kama wote.. Bongo noma!
Nina wasicho kielewa ktk kumwakilisha Mungu atufanyie himaya na wepesi...Noma na nusu, mpaka jirani wanauliza siri yetu ni nini..
Wepesi umekuwa wepesi Alhamdulillah tunadunda tu hatuna wasiwasi.Nina wasicho kielewa ktk kumwakilisha Mungu atufanyie himaya na wepesi...
Wasiwasi ni maradhi ya nafsi iliyomo ndani ya moyo hupelekesha hadi kuugua Kuchaa !!Wepesi umekuwa wepesi Alhamdulillah tunadunda tu hatuna wasiwasi.
Kuchaa! Mpaka kushindwa kupata usingizi hata lepe...Wasiwasi ni maradhi ya nafsi iliyomo ndani ya moyo hupelekesha hadi kuugua Kuchaa !!
Lepe la dkk 5 tu limenigharimu Duka langu kuvunjwaKuchaa! Mpaka kushindwa kupata usingizi hata lepe...
Kuvunjwa kwenye hii mitano ya mwanzo au wezi?pole mkuuLepe la dkk 5 tu limenigharimu Duka langu kuvunjwa
Mkuu nimeshapowa sina budi navumilia...Kuvunjwa kwenye hii mitano ya mwanzo au wezi?pole mkuu
Navumilia mengi ila haya ya kuharibu mipango huwa yanatia hasiraMkuu nimeshapowa sina budi navumilia...
Hasira isikuchanganye ukashindwa kupata muwafaka !!Navumilia mengi ila haya ya kuharibu mipango huwa yanatia hasira
Muafaka lazima upatikane, nimeshachoka ungaunga mwana.Hasira isikuchanganye ukashindwa kupata muwafaka !!
MwanaAsha na MwanaIddi ni mapacha wasiyo fanana!!Muafaka lazima upatikane, nimeshachoka ungaunga mwana.
Fanana na watu wote ila siyo Masudi Sura mbaya!!MwanaAsha na MwanaIddi ni mapacha wasiyo fanana!!
Mbaya yeyote hamfikii Remi Ongala.. Yule ni mwishoFanana na watu wote ila siyo Masudi Sura mbaya!!
Mwisho wa dhiki ni farajaMbaya yeyote hamfikii Remi Ongala.. Yule ni mwisho