Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kirona ni kinara wa majanga !!Tupambane na virusi vya kirona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kirona ni kinara wa majanga !!Tupambane na virusi vya kirona
Korona!!! Mbongo halisi hadhuriwi na korona, chezea nyungu weweTupambane na virusi vya kirona
Majanga ndio ilikuwa nyimbo ya Snura vile?Kirona ni kinara wa majanga !!
Wewe nyungu unazijua?Korona!!! Mbongo halisi hadhuriwi na korona, chezea nyungu wewe
Kama sikosei huyu dada si ndio alieimba chura? Si ni kweli?Majanga ndio ilikuwa nyimbo ya Snura vile?
Mambo ya kujifukiza hayo, hata Muheshmiwa Jafo analitambua hiloWewe nyungu unazijua?
Hilo lilishapita sasa tunatembea kifua mbele Mungu ametusaidiaMambo ya kujifukiza hayo, hata Muheshmiwa Jafo analitambua hilo
Ametusaidia Mwenyezi Mungu kutuumba na anasaidia ktk maisha endelevu..Hilo lilishapita sasa tunatembea kifua mbele Mungu ametusaidia
Endelevu ni neno la kiswahili lenye maana ya kuendelea..Ametusaidia Mwenyezi Mungu kutuumba na anasaidia ktk maisha endelevu..
Kuendelea kimaendeleo tunahitaji kubadilika bila kusuasuaEndelevu ni neno la kiswahili lenye maana ya kuendelea..
Kusuasua kwa penzi/mahusiano yangu na Grace nimeumia sana maana nilikuwa nampenda na kumjali hasa miamala ya M~pesa nakutama na ya kutoleaKuendelea kimaendeleo tunahitaji kubadilika bila kusuasua
Kutolea pesa kwa wakala ni gharama kuliko kutolea kwenye ATM machine!Kusuasua kwa penzi/mahusiano yangu na Grace nimeumia sana maana nilikuwa nampenda na kumjali hasa miamala ya M~pesa nakutama na ya kutolea
Machine ya kunyolewa nyweleKutolea pesa kwa wakala ni gharama kuliko kutolea kwenye ATM machine!
Nywele zenyewe ziko wapi wakati jamaa ana upara tu.Machine ya kunyolewa nywele
Nywele zenyewe ziko wapi wakati jamaa ana upara tu.
Huko ulipo ni salama lakini mkuu?Upara tu!!! Hiyo hiyo inaitwa Hikmah, ndio maana wanatunukiwa Bin Adam wachache sana. Vipara ndio hivyo vinavyo tengeneza kwenye masaloon huko
Mkuu usipolinda hadhi yako utafedheheka...Huko ulipo ni salama lakini mkuu?
Mkuu vurugu uanzishe wewe tu ndugu yanguHuko ulipo ni salama lakini mkuu?
Yangu macho tu sijui Lissu atashindaVurugu uanzishe wewe tu ndugu yangu
Atashinda, labda zitokee vuruguYangu macho tu sijui Lissu atashinda