Faraja nyalandu au faraja yupi unamuongelea??Mwisho wa dhiki ni faraja
Unamuongelea? Nani hasa kwanza nakupa pole kwa kupgwa ban kwa muda mkuuFaraja nyalandu au faraja yupi unamuongelea??
Mkuu ulijuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mods wanakeraa sanaaUnamuongelea? Nani hasa kwanza nakupa pole kwa kupgwa ban kwa muda mkuu
Sanaa Sanaa watakuboa tu achana naoMkuu ulijuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mods wanakeraa sanaa
Nao mods wanawaona tu mnavyowasema vibayaSanaa Sanaa watakuboa tu achana nao
Siku izi maisha hayaelewekiVibaya avipendeki kabisa sikuizi
Hayaeleweki kama siasa za tanzaniaSiku izi maisha hayaeleweki
Tanzania inch yanguHayaeleweki kama siasa za tanzania
Yangu ni ya wote ila Yake ni yake huu si ubinafsiTanzania inch yangu
Ubinafsi kama huo ni wa kuukemea vikaliYangu ni ya wote ila Yake ni yake huu si ubinafsi
Kuukemea vikali wakati hakuna aliyemsafiUbinafsi kama huo ni wa kuukemea vikali
Aliyemsafi na mkamilifu ni Muumba wa ardhi na Samawati...Kuukemea vikali wakati hakuna aliyemsafi
Samawati ni msamiati mgumu uliomaliza nao.. Au ndo unataka uwe mshindi?Aliyemsafi na mkamilifu ni Muumba wa ardhi na Samawati...
Mshindi hatopatikana ktk kipindi hiki....Samawati ni msamiati mgumu uliomaliza nao.. Au ndo unataka uwe mshindi?
Hiki kipindi kigumu, labda dunia iisheMshindi hatopatikana ktk kipindi hiki....
Iishe kwa sbb hauna mwelekeo ?Hiki kipindi kigumu, labda dunia iishe
Mwelekeo wa kwenda wapi!Iishe kwa sbb hauna mwelekeo ?
Wapi waliyo wakali sana tupambane ?Mwelekeo wa kwenda wapi!
Tupambane na virusi vya kironaWapi waliyo wakali sana tupambane ?