Kumekucha na makucha yake, ila mvua inakera[emoji30]Jamani amkeni kumekucha
Msukule unatisha jamani
Sana sana ABJ anaekataa mvua siyo mkulimaJamani tusiongeele hayo mambo ,
Yanatisha Sana.
Mazao yanavunwa baada ya kutafakari soko?Mkulima hodari mimi [emoji4]ila mvua imekuwa too much inaharibu mazao
Soko limekumbwa na mafurikoMazao yanavunwa baada ya kutafakari soko?
Mafuriko yamechimbuwa udongoSoko limekumbwa na mafuriko
Udongo wa tiftif au mfinyanziMafuriko yamechimbuwa udongo
Mfinyanzi unamvutoUdongo wa tiftif au mfinyanzi
Mvuto wa kimapenzMfinyanzi unamvuto
Kimapenzi sina mzuka huo,tufanye kazi kwanzaMvuto wa kimapenz
Zao la ufuta limeporomoka bei
Bei ya mafuta ya kula imepanda sana,sijui tatizo nnZao la ufuta limeporomoka bei
Nini usilojua kuhusu biashara ya mafuta kuna uhaba wa malighafiBei ya mafuta ya kula imepanda sana,sijui tatizo nn
Sana tena sana,nchi ya kusadikika hii
Hii simba dah!Sana tena sana,nchi ya kusadikika hii
Dah! Kweli nimeamini uchawi hauvuki bahari.. [emoji16]Hii simba dah!
Bahari Hindi ina upepo na vimbungaDah! Kweli nimeamini uchawi hauvuki bahari.. [emoji16]