Wa mwisho ndiyo mshindi

Binadamu wewe Mmmh sina Hila wala kauli
Kauli thabiti na zilizoshiba na hatua za ufuatiliaji miradi kutoka kwa Mh Silinde (Mbunge & Naibu Waziri) zinaleta matumaini ya viongozi wetu wanaoielewa na kuitafsiri vilivyo njozi bora za JPM zenye lengo la kuleta ustawi madhubuti na wa kasi na nchi yetu
 
Yetu sisi ni macho tu hayo yakina silinde tuwaachie wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…