Wa mwisho ndiyo mshindi

Mbili, tatu za falsafa za siasa ni kuhadaa umma
 
Kesho taifa letu litakuwa na Mustakabali imara
Imara sana kwa sababu ya msingi bora ambao umewekwa particularly kuanzia kipindi cha miaka mitano iliyopita ya viongozi wanaojua maana halisi ya uzalendo wa kweli, utumishi wa haki na sheria, nidhamu na miiko ya kazi, weledi, uwekevu, kubana matumizi, ubunifu, bidii, ushupavu na kumtanguliza Mola kwa maslahi mapana ya maendeleo ya taifa, na pia utekelezaji fanisi wa vitendo
 
Vitendo
Vitendo ni bora kuliko maneno...
 
Muruwa kabisa Jasmoni Tegga unapenda kutupa sana habari za jpm ,haya watanzania mumsikilize kwa makini
Makini sana huyu Rais wetu mzalendo na mpenda-maendeleo ya kweli; ni kiongozi mwenye msimamo thabiti, asiyeyumba wala kuyumbishwa, ni mbunifu na mwenye maamuzi ya kujitegemea yenye maono, anayependa kuona usawa katika nchi yake, si mbaguzi wa dini, rangi, kabila, hadhi, jinsi wala jinsia, ama elimu; ni msema kweli na wala hawafumbii macho wabadhirifu, walarushwa, wahujumu-uchumi, wapiga-dili na madalali wa mabeberu
 
Mabeberu wameipata meseji kikamilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…